KISHUZILAINI6
Member
- Dec 16, 2016
- 15
- 3
Najaribu kushangaa pindi nnapoona wawekezaji tena wageni wanashindwa kuwathamini wafanyakazi wake,hii nimeishuhudia kwenye kampuni ya usafirishaji inayokwenda kwa jina la ZHI YUAN INTERNATIONAL TRANSPORTATION GROUP iliyoko maeneo ya Yombo Buza kwa mama kibonge.
Mmiliki wa kampuni hii ni mchina. Kampuni hii inaendeshwa kifamilia, ina miaka zaidi ya mitatu mpaka sasa madereva hawana mikataba wala maofisa na hata mikataba inayotumika SUMATRA huwa inakuwa ni Fake (ukija chunguza madereva hao walishafukuzwa kazi).
Mishahara ya madereva inakatwa kila kukicha, wafanyakazi wananyanyaswa sana hii imeniuma sana. Vyombo husika vinashindwa kuwasaidia wafanyakazi, kuna mtoto wa huyu boss anaitwa Mr. Wang 0766777772 huwa anawafukuza vibaya sana wafanyakazi.
Baadhi ya namba za wafanyakazi wa pale hizi hapa ili kuweza kupata ushahidi:
0713807280- Documentation officer.
0677333015- Driver
0712999949- Dispatch officer