Nataka kusafirisha football mkuuInategemea na aina ya bidhaa unayotaka kusafirisha .hebu sema nikusaidie
Nadhan kutumia international companies Ni ghari Sana Ila cjajua upande wa posta gharama zao ziko vpLocal companies nyingi ni china.
Tumia international companies DHL, CDS, ARAMEX , pia POSTA
Mzigo gan
Mipira mkuuMzigo gani??
Chakula,dawa,mavazi ama