Kampuni gani ya kukodisha magari(car rental) bei zao ni nafuu hapa dar?

wadau natafuta mtu/kampuni ya kukodisha mafari Noah au gari nyingine yenye ukubwa wa kubeba abiria sio chini ya watano. safari ya kwenda Dodoma siku tatu tu. ni kazi ya ofisi tuwasiliane tuzungumze bei.
0715 686575
 
Kama unahitaji Toyota verosa,MK 2 Grande 2004-2006 models,fueled for 100KM/day/with a driver. 100US$.
Corolas 2000models,Cami,Terios 50US$.Kama ukizihitaji,just send a PM. Land cruiser Prado 2000 models 150US$ same conditions.
asietangaza bei ?*? Kama una mapungufu usiache kujieleza.
hiyo bei ni per hour au per day?
 
Back
Top Bottom