Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?

I mean the best company ni ipi?
Huku kampuni hazina mambo mengi best company tuna ievaluate kwa suala la kwenda na muda tu na list ni hii Allys, Tanzanite & Dar lux, Kidia One, Zuberi (Hawa chuma zao ni mpya) . Hao wengine wakina Isamilo, Abood, Kisbo, Alfa, Phoenix ndo hufuata baada ya hilo kundi hapo juu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom