Kampuni feki ya Kenya huenda ni JIPU la Ikulu, vinginevyo sielewi kwanini akina Kabudi hawajatumbuliwa hadi sasa!

Timm Wu

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
505
1,360
Screenshot_2019-02-26-09-42-33-1-1.png

Wakenya wanamfahamu Brian Mutembei kama mtu mjanja mjanja tu wa mjini - mithili ya akina Jerry Murro au Le Mutuz au Cyprian Musiba hivi - yan ni kama umchukue Le Mutuz umvalishe suti halaf ukusanye serikali nzima ya Kenya on live TV uwasainishe Mkataba Feki wa kununua mavuno yote ya zao la Chai ya Kenya kwa mwaka 2018.

Sasa ndo narudi kwenye swali langu, kwanini huyu Waziri mjanja mjanja Palamaganda Kabudi na wenzake Kakunda na Hasunga hawajawajibishwa mpaka sasa pamoja na kumdhalilisha Rais kwa kiwango hiki? Au hii kampuni ya INDO WHO? kama wanavyoiita Wakenya ni jipu la Ikulu moja kwa moja na kwa hiyo kuwawajibisha akina Kabudi itakuwa ni kuwaonea?
 
View attachment 1032301

Neno la Kimombo Tapeli anaitwa '' A crook '' some one who has crooked ideas
Crook definition and meaning | Collins English Dictionary
 
Maprofesa & PhD holder wa Tz ndo wanaoongoza kuliletea Taifa Hasara. Serikali inarundo kubwa la hawa watu lakini wote akili zao kwa Sasa ni zero. Wako kama watoto wa chekechea, wakiambiwa ruka - wanaruka, wakiambiwa jifiche, kimbia, kaa kimya, hawana akili za kujiongeza.
 
View attachment 1032301
Wakenya wanamfahamu Brian Mutembei kama mtu mjanja mjanja tu wa mjini - mithili ya akina Jerry Murro au Le Mutuz au Cyprian Musiba hivi - yan ni kama umchukue Le Mutuz umvalishe suti halaf ukusanye serikali nzima ya Kenya on live TV uwasainishe Mkataba Feki wa kununua mavuno yote ya zao la Chai ya Kenya kwa mwaka 2018.

Sasa ndo narudi kwenye swali langu, kwanini huyu Waziri mjanja mjanja Palamaganda Kabudi na wenzake Kakunda na Hasunga hawajawajibishwa mpaka sasa pamoja na kumdhalilisha Rais kwa kiwango hiki? Au hii kampuni ya INDO WHO? kama wanavyoiita Wakenya ni jipu la Ikulu moja kwa moja na kwa hiyo kuwawajibisha akina Kabudi itakuwa ni kuwaonea?
Kabudi anatuabisha waalimu wenzake wasomi....mweeee!!
 
Hiyo kampuni feki ilingizwa Nchini kwa lengo la kisiasa kuonesha kuwa Ikulu imeweza kufanya biashara ya korosho kwa faida.

Kwahiyo hiyo ni movie tu, steering yuko mahala anaendelea kusoma scripts ili aje na part 3 ya movie wakati ambao jambazi kuu litauwawa😂😂😂😂
This is Tanzania, brothers and sisters
 
View attachment 1032301
Wakenya wanamfahamu Brian Mutembei kama mtu mjanja mjanja tu wa mjini - mithili ya akina Jerry Murro au Le Mutuz au Cyprian Musiba hivi - yan ni kama umchukue Le Mutuz umvalishe suti halaf ukusanye serikali nzima ya Kenya on live TV uwasainishe Mkataba Feki wa kununua mavuno yote ya zao la Chai ya Kenya kwa mwaka 2018.

Sasa ndo narudi kwenye swali langu, kwanini huyu Waziri mjanja mjanja Palamaganda Kabudi na wenzake Kakunda na Hasunga hawajawajibishwa mpaka sasa pamoja na kumdhalilisha Rais kwa kiwango hiki? Au hii kampuni ya INDO WHO? kama wanavyoiita Wakenya ni jipu la Ikulu moja kwa moja na kwa hiyo kuwawajibisha akina Kabudi itakuwa ni kuwaonea?
Watatumbuliwaje wakati jiwe ndie mwenye kampuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Lugumis and the like!
Tutapigwa tu, tena sana na bado!

Back
Top Bottom