Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Lissu ameshindwa kabisa kuvaa viatu vya lowassa na Dr Slaa. Chadema ya mafuriko ilishaondoka na hao wazee.
 
Lissu ameshindwa kabisa kuvaa viatu vya lowassa na Dr Slaa. Chadema ya mafuriko ilishaondoka na hao wazee.
Hivi ile mechi ya bure wachezaji walivaa viatu au pekupeku?na matokeo yalikuwaje nasikia watazamaji ilikuwa familia ya Lowassa peke yao
 
Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio Lisu

Halafu Lisu kwenye sera anasema atapunguza misafara ya Raisi ona Happ pikipiki zikizoko kwenye msafara wake Ni nyingi kuliko za msafara wa Raisi Magufuli

Lisu kwa fix na uongo hajambo
Dude una hoja dhaifu. As if ccm huwa hafanyi the same?
Kwa taarifa yako tu.. asilimia kubwa wanakuja wenyewe. Arusha wana mwamko sana kwenye suala la upinzani kuliko mikoa mingine. Hakuna alieletwa kwa basi au usafir mwingine. Hao wote hapo ni arusha mjini.

Halaf ujue kutofautisha kati ua misafara ya campaign na misafara ya rais. Hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Ni kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kuandika ujinga kama huu lakini asijiulize huyo anayejiita KICHAA kama kafanya mengi kwanini ANAHOFIA tume huru? Kwanini ANAHOFIA kura kuhesabiwa hadharani? Za kuambiwa......
Na mwenye UJINGA kichwani mwake kila anapona hafikii lengo huwa anatafuta sababu.
Kushinda upinzani haishindi ndio maana mnatafuta sababu.
 
sio vurugu dadangu... hii inakueleza kuwa ujifunze kuheshimu vyama vingine..
vinginevyo hii ya kutimuliwa itakuhusu. MBOWE NI MWAMBA
Sikiliza BINT tulieni dawa iwaingie..... tuone kama kweli kuna mafuriko ana ni mfereji. Kwa uhalisia wa jana Arusha basi tumesha ona hamna chenu mwaka huu
 
Kwa hiyo wa Mkapa wa ccm naye alikuwa anatafu sababu siyo? Kweli UZWAZWA ni kipaji. Kitu kiko watu kabisa lakini mtu ataleta ubishi wa KIPUUZI!

1598959280698.jpeg

Na mwenye UJINGA kichwani mwake kila anapona hafikii lengo huwa anatafuta sababu.
Kushinda upinzani haishindi ndio maana mnatafuta sababu.
 
Sikiliza BINT tulieni dawa iwaingie..... tuone kama kweli kuna mafuriko ana ni mfereji. Kwa uhalisia wa jana Arusha basi tumesha ona hamna chenu mwaka huu
We malaya wa lumumba ona hii afu kamwambie mumeo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sikiliza BINT tulieni dawa iwaingie..... tuone kama kweli kuna mafuriko ana ni mfereji. Kwa uhalisia wa jana Arusha basi tumesha ona hamna chenu mwaka huu
Leo mpaka ujinyee sgwain wewee👷👷👷💩💩💩
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom