Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Ndugu yangu BAK, je umeelewa chochote alichoandika huyu kilaza Gerald .M Magembe? Mtu Kiingereza hajui, Kiswahili hajui na si ajabu hata Kilugha hajui...yaani ni jamii ile ile! Na hapa anadai eti alifukuzwa UDSM, really? Sikujua UDSM ya leo inapokea vilaza kama hawa...it's no wonder hii awamu imehatamiwa na washamba na limbukeni katika nyanja zote, masikini nchi yangu Tanzania!

Mkuu nitashukuru sana kama utakuwa ukini saidia kuelewa vizuri kiingereza, Nipo tayari kujifunza mpaka nakufa.
 
Oh! God! Did you see the simple question that I ask you!? 😳😳😳

I don’t need to read this newspaper I don’t have time for reading this just answer my simple question please!
Analysing political events is much different to how you solve mathematical equation. Unless we are not exchanging the views rather we are competing.
 
Hii ndivyo ilivyokuwa
 

Attachments

  • Pata picha hali ya aliyemdanganga kuwa Chadema imekufa, Ushauri wangu wa bure kw ( 352 X 640 ).mp4
    5.9 MB
Kwenye hiyo picha,nimehesabu watu waliopo kati ya Lissu na Mwalim wanafika 300.nikongeza ziada watu 100 kufidia kama kuna wengine sikuwahesabu.

sasa nyinyi wanyanyembe Chadema kweli mgombea urais mnapata watu wachache kiasi hiki,mmewakosea nini watanzania mpaka wameamua kuwasusa?
Hao 300 ni Wakenya?
 
On the same page binti kiziwi. Based on his performance and personality out of that 2015 maccm list he was the last one in my list. I knew he is bad but NOT THIS BAD. I
am praying for him to be one term only but because of tumeccm and the reality that the election will not be free and fair I am worried about the future of our beloved country.

Watu walihustle sana kumtafutia publicity kwa vyombo vya habari huyu mtu 2015, hali ilikuwa ni mbaya, vyombo vya habari vilikuwa vinaignore habari zake, camera zao walizielekeza zote kwa Lowasa, zilibidi zifanyike juhudi za makusudi aandikwe, Leo hii amewageuka wanahabari kama hawajui vile! Shame on him.
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi


View attachment 1554745View attachment 1554746View attachment 1554747

UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Aisee wacha tu TL vyombo vya ndani vifungiwe kw akuripoti habari zake. Yaani kama visingezibw a mdomo Magufuli naona angefunba masikio. Maana habari zote ni Lissu Tu.
 
Chadema inaonekana kama kagenge flan ka wahalifu , waendelee Tu kumpa pressure JPM ili atambue wajibu wa kuwa kiongozi wa juu wa nchi cse still mwamba ni far better, ila kumpa uraisi TL itakuwa mistake ya Karne and should fill it with a terrible resolve
Hama nchi akingia ikulu ndio salama yako. Lissu hakwepeki kwa sasa.
 
Kampeni zimeanza sijaona ILANI ya CHADEMA.Sasa sijui ni kila eneo wanaongea kwa kuangalia eneo.
 
Lumumba waliweka na mechi ya simba hakuna kiingilio Leo ili wapunguze watu kwa lisu imeshindikana uwanja mtupuView attachment 1554807
Yaani ukiangalia hilo kundi la askari wetu hapo ni kama wanamsikiliza mtu wa jukwaani anawapa habari kupitia mitandao ya kijamii kinachoendelea viwanja vya relini.

Lakini tuache utani sijawahi kuona watu wenye roho mbaya kama ccm ya awamu hii.
Miaka mitano siasa za nchi nzima zimekuwa za mtu mmoja, polisi, mahakama, tume, vyombo vya habari na kila wanae weza kummiliki alipewa maagizo yakuangalia upande mmoja tu.
Lakini pia haitoshi wameamua kuweka adi mechi ya kuzushi ili mradi tu, lakini bado wanakwama. Nia hafadhali wangepeleka katika kila mkutano wangalau wabana pua (wasanii) watano pengine ingewasaidia labda.
Lakini mpira? Aah wapi!! Hata marehemu bibi yangu tulikuwa tunagombana anaposikia nimekwenda kucheza/kuangalia mpira kwa kigezo cha kwamba ni upuuzi kwenda kukimbizana na ngozi wakati hujui nani alikula nyama.
Sasa watu waache kwenda kusikiliza hatma ya maisha yao ya baadae wakaangalie mpira kisa hakuna kiingilio?
Ama kweli ccm sio kwamba wameshindwa tu kuongoza, bali hata kufikiri pia wamesha choka.
 
Back
Top Bottom