Kampeni za udiwani: Mnyika akiunguruma katika kata ya kitwiru mkoani iringa kumnadi bahati chengula

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
ad66f7a6d7ca18019971ca67ddc02945.jpg
b1d00ec812a282b27c2d650dcc9819c7.jpg
50390b9efaa819326f193ac91e224a1b.jpg
 
Kunakitu hakiko sawa kwa Mh.John John Mnyika kapoa sana wengi wanasema kua hakukubaliana na Ujio wa Lowasa,Nchi hii Ina hazina kubwa sana ya Vijana Wazarendo Mnyika ni miongoni mwao
 
kupoa kivipi, wa ccm waliochemka ni nani na nani? show zote ni kwa kiranja mkuu. fursa ya kumwaga sera imewadia na kaonekana mnataka nini tena?
 
Anaona aibu jinsi walivyomtukana mh EL halafu leo anae cjui kama ndani ya cdm huwa wanatazamana usoni na kupitiapitia magazeti ya miaka miwili kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom