USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA SERENGETI KWA KUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA CCM MKOA NA MAKATIBU WOTE WA CCM WATOKANAO NA ccm MKOA WA MARA
baada ya kuonekana kuyumba na kutokubalika vyema kwa wananchi katika kampeni za kugombea udiwani zinazoelekea ukingoni hivi sasa wamepanga yafuatayo
1 kutafuta kiwango cha fedha kinachoweza kukubalika na mgombea wa CHADEMA ndg DANIEL NYAMORONGA ili ajitoe KITU AMBACHO KIMETHIBITISHWA LEO NA MGOMBEA katika mkutano wa hadhara kijiji cha bwitengi
2 wanapanga ugawaji fedha kwa kiwango kikubwa na mpaka sasa gari nyingine inasemekana iko njiani kutoka MWANZA kuja kwa kazi maalum ya ugawaji fedha
3 wanapanga utekaji nyara mgombea wa chadema
4 mpaka sasa wamejihusisha zaidi na mfumo wa kufanya mitambiko kwa kuchinja wanyama kama kafara na kuwalisha wananchi wa kata ya manchira
5 wameweza kukaa vikao na kutafiti namna ya kuongeza kura kwenye DAFTRAI la kudumu kwa kutumia majina ya watu waliokufa na waliohama ili kunusuru upepo mbovu wa mgombea wao aliyewahi kuwa diwani na badae kushindwa bingwa wa kesi za kubambikiza wenzake na uporaji wa ardhi NDG MICHAEL SHAWESHI
CHADEMA KWA UPANDE WETU TUNAMTANGULIZA MUNGU ZAIDI TUKIWA JOPO LA VIJANA KAMA
ALPHONCE MAWAZO
MWL CHACHA HECHE
DIWANI RYOBA
KAMANDA MAKURU
NZEMO
MWL MAKIMA
MAMA TECLA KUTOKA TARIME
DIWANI JOSEPHINE
tunamtumainia mungu kauli mbiu yetu ni kuwa hii ni vita kati ya wezi dhidi ya wapenda haki tunaomba mtuunge mkono wote wana jamvi wenye mawazo na kila namna KUFANIKISHA AZMA YETU NA YA CHADEMA YA KUKOMBOA WANYONGE