Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani kuanza December 22


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,457
Likes
74,107
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,457 74,107 280
Baada ya mwaka mzima wa Serikali kuzuia mikutano ya hadhara, vyama vya CCM, Ukawa, ACT Wazalendo na vingine vinatarajiwa kuwasha moto kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Zanzibar na madiwani katika kata 22 kwenye halmashauri 21 za Tanzania Bara kwa mwezi mzima.

Mbali na ubunge, mtifuano huo utafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Singida, Mwanza, Dodoma, Iringa, Manyara, Mara, Arusha, Katavi, Ruvuma, Kagera, Shinyanga, Kilimanjaro, Simiyu na Pwani.

Uchaguzi huo unatarajiwa fursa ya kwanza kwa vyama vya siasa kupata uwanja wa kufanya mikutano ya hadhara kunadi sera zao na pengine kipimo cha utawala wa Rais John Magufuli katika uongozi wa Serikali na chama tawala.

Chanzo:Mwananchi
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,507
Likes
34,283
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,507 34,283 280
Kumekucha, sasa subirini vigongo vya majukwaani
 
twahil

twahil

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
3,881
Likes
2,215
Points
280
Age
32
twahil

twahil

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
3,881 2,215 280
Nchi ilikuwa imetulia...sasa kelele za ukawa zikianza utafikiri wanagombea URAIS...
 
MFIZIGO

MFIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
357
Likes
81
Points
45
MFIZIGO

MFIZIGO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2014
357 81 45
Tulimis sana. Usishangae wakatuambia wanaoruhusiwa kusimama jukwaani ni wagombea tu.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Wataruhusiwa wagombea pekee kufanya kampeni, wengine mpaka 2020
 
Bururu

Bururu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
842
Likes
503
Points
180
Bururu

Bururu

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
842 503 180
Yetu masikio na macho
 
MFIZIGO

MFIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
357
Likes
81
Points
45
MFIZIGO

MFIZIGO

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2014
357 81 45
Natamani iwe hivyo, wagombea wengi wa nyinyiem ni vilaza na huwa hawana uwezo wa kujisemea
 
mkonongo1938

mkonongo1938

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Messages
1,748
Likes
1,889
Points
280
Age
49
mkonongo1938

mkonongo1938

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2016
1,748 1,889 280
Mziki wa UKAWA tuliumiss
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,050
Likes
3,239
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,050 3,239 280
Sasa nimeelewa kwanini Lema yupo lock up na toyo zimegawiwa Arusha.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,457
Likes
74,107
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,457 74,107 280
Natabiri kwenye kampeni atasema yasitajwe mambo ya kitaifa bali ya kata husika , pia atazuia viongozi kutoka nje ya eneo la uchaguzi
Afanye afanyalo ila sasa ndio atajua kama Bombadier zinalipa.
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,050
Likes
3,239
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,050 3,239 280
Wasichokijua ni kuwa kwa Utaalamu wa sasa Lema anaweza kutoa hotuba na zikasambazwa kutoka humo aliko na kuwekwa kwenye mikutano ya hadhara
Kabisa, Lema sasa anavuma kuliko Mboga.
 
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
2,542
Likes
1,105
Points
280
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
2,542 1,105 280
Hamna cha siasa hapa ..mpaka 2020
 
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Messages
2,714
Likes
4,535
Points
280
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2014
2,714 4,535 280
Ufalme uliofitinika...sasa wanahangaika kuzima issue ya kiwanda cha saruji cha Dangote kusimamisha uzalishaji.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,457
Likes
74,107
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,457 74,107 280
Nchi ilikuwa imetulia...sasa kelele za ukawa zikianza utafikiri wanagombea URAIS...
Ndio muone kama mtu wenu anakubalika.
 

Forum statistics

Threads 1,274,995
Members 490,874
Posts 30,529,935