Kampeni za marudio ya uchaguzi wa madiwani

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Ni vijembe, vichekesho na blaa blaa katika kampeni za marudio ya uchaguzi. Najiuliza ni ujumbe gani hao viongozi wanawakilisha kwa wapiga kura ngazi ya Kata (demokrasia, mauaji, uvunjivu amani, maendeleo au mwendelezo wa Ilani za Uchaguzi 2015 na jinsi vyama vimeza kutekeleza)? Naweka viunganishi vya baadhi ya vionjo na ujumbe uliomo kwenye kampeni hizo, hapa chini. Hakika Siasa Tanzania zinakosa mwelekeo

1) Mh. Lema (Arusha)


2) Lusinde (Dodoma)


3) Msigwa, Heche na Sugu (Iringa)


4) Kata ya Sombetini, Arusha
 
Back
Top Bottom