Elections 2010 Kampeni za Mama na Mwana Zimefikia Wapi??

Maana yake nini?

Mbona JK haishi kulia-lia. Akiondoka mkoa mmoja, huku nyuma watu wanaanza kuharibu. Anatamani kurudi alikotoka wakati hajamaliza anakokwenda. Loo! JK fisadi!

Mkuu, taratibu basiiiiiiiiiiiiii, mbona unakwenda mbali. Tunazungumzia tetesi za kutoweka kwa familia ya Rais katika kampeni. Rudi kwenye mada.
 
uchief gani tena kapewa?


Uchifu wamepewa wengi ikiwa ni pamoja na, Lipumba, Dr Slaa, Bilali, Mbowe na wengine. Ni vitendo vya kumkubali kiongozi katika jamii husika na si vinginevyo kwani nani asiyejua kuwa Nyerere alipiga marufuku uchifu halisi na tangu hapo hakuna kauli iliyotengua maamuzi ya Nyerere.
 
Back
Top Bottom