Elections 2010 Kampeni za Mama na Mwana Zimefikia Wapi??

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,393
12,976
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news yeyote. Mama pia mara ya mwisho kumsikia alikuwa KGM.

Je hizo zilikuwa ni mbinu za sakafuni au ndiyo wanakusanya nguvu tayari kwa awamu ya mwisho?? Malaria Sugu naomba update???
 
Wanasherehekea birthday ya mzee! si unajua watu wapwani sherehe ni ya mwezi mmoja!
 
Ushiriki wao kwenye kampeni umewaudhi wakongwe wengi wa CCM. Labda wamekubali kuachana na utumbo huo. Hivi nani aliwaambia wanakubalika kwa jamii mpaka wajione wanafaa kuwa makampeina?

Kushiriki kwao kumemwangusha kwa kiasi kikubwa Kikwete na huenda hili wameligundua.
 
Vyombo vya habari vimeonywa kutowafuatafuata vinginevyo watafungiwa... wengine (waandishi wa habari) wameahidiwa u dc au ubalozi
 
likuwa ni jeuri isiyo na tija. Walidhani wao peke yao kama familia wanaweza lakini wamefika mahali wamekwama vibaya ndio maana JK kawaangukia Wazee wenye chama chao ili wamsaidie. Jeuri haisaidii!
 
Tutaanzisha wilaya na mikoa mipya mingapi? Tutaanzisha balozi ngapi mpya? Kumbuka mangumbaru na walamba xxx kibao wanasubiri huo mgao
 
Wapo wanaendelea kuzurura hujamskia Salma akiwatolea radhi vijana wa Tanzania kuwa hawana adabu eti hawaipendi CCM
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news yeyote. Mama pia mara ya mwisho kumsikia alikuwa KGM.

Je hizo zilikuwa ni mbinu za sakafuni au ndiyo wanakusanya nguvu tayari kwa awamu ya mwisho?? Malaria Sugu naomba update???

Kama Mkapa, Sumaye, Malechela na wengineo wamenawa. Itakuwa Mama na Mwana?
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news yeyote. Mama pia mara ya mwisho kumsikia alikuwa KGM.

Je hizo zilikuwa ni mbinu za sakafuni au ndiyo wanakusanya nguvu tayari kwa awamu ya mwisho?? Malaria Sugu naomba update???

Bado wanaendela na kampeni kama kawaida hujafuatilia vyombo vya habari. Kusimama ni kujimaliza kisiasa na kuwapa ushindi wapinzania, kwa wanaCCM hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
likuwa ni jeuri isiyo na tija. Walidhani wao peke yao kama familia wanaweza lakini wamefika mahali wamekwama vibaya ndio maana JK kawaangukia Wazee wenye chama chao ili wamsaidie. Jeuri haisaidii!

Habari za ndani ya kikao hicho ...........Tathmini ya chama iliyolewa na kamati kuu inaonyesha wazee hawahitajiki kwani upepo bado unaonyesha kuipa ushindi CCM. Wazee wametakiwa waendelee kupumzika
 
Wenye CCM hawawataki..

Malaria Sugu, uko wapi hadi wanasema eti nyinyi CCM hamuwataki wanaCCM wenzenu kwa sababu tu wanatokea familia ya Rais. Nimekusaidia kwa sababu huonekani kutupa ukweli. Natumaini utajitokeza kukata mzizi wa fitina ya chadema hapa.
 
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news yeyote. Mama pia mara ya mwisho kumsikia alikuwa KGM.

Je hizo zilikuwa ni mbinu za sakafuni au ndiyo wanakusanya nguvu tayari kwa awamu ya mwisho?? Malaria Sugu naomba update???

uchief gani tena kapewa?
 
Hawajanawa, kampeni za sasa sio size yao. hakuna tishio kwa chama tawala hata wakahitajika.

Maana yake nini?

Mbona JK haishi kulia-lia. Akiondoka mkoa mmoja, huku nyuma watu wanaanza kuharibu. Anatamani kurudi alikotoka wakati hajamaliza anakokwenda. Loo! JK fisadi!
 
Back
Top Bottom