Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

kama masihara huyu mwamba tukija kustuka yupo bungeni ndio tutaanza kujiuliza imekuwaje jomba kapita siasa ni ukichaa kwel
Miaka yote Halima Mdee anapita kwa kura za wanna CCM.
Gwajima hakubaliki kwa wanachama wengi. Aliwatukana hadharani waislam na kusema misikiti ataigeuza kuwa Sunday School na alimtukana Kadinalo Pengo.
Gwajima Hana sifa za kuwa kiongozi
 
Gwajima anapoteza pesa za wanakondoo wake bure tu! Wakazi wa Jimbo la kawe % kubwa ni wenye kipato cha kati na wasomi.

Mtu mwenye kipato cha kati na elimu nzuri hawezi kuichagua CCM.

CCM waanawarubuni watu walichoka kiuchumi kwa vipande viwili vya "Shuka la mmasai" ,mtu mwenye akili zake na mwenye kipato hauwezi kumdanganya kuuza kura yake kwa elfu 20 au Mkopo wa kikundi wa laki 3.
 
Thubutu ..Kawe ndio jimbo lenye wasomi wengi TZ..porn star hawezi
kuna video fulani ya Msukuma akiuliza waliokuwa kwenye mkutano wa kampeni, - Darasa la 7 nyoosha mikono juu, na form 4 nyosha mikono juu,. Shigongo, umewaona wapiga kura wako!!
 
Kwanza kabisa huu ni uvunjifu wa haki ya mtoto, na vibaya zaidi mtoto wa umri wa chekechea kumyima haki yake ya kuwa mtoto na kumtumikisha kwenye siasa, tena siasa za kisanii. Pili, sijui kama wazazi waliombwa ruhusa ya kuwatumia watoto wao wadogo kutumika kwenye usanii huu.

Kama wazazi wa Kawe ni wasomi, wanajua haki yao ya kumfungulia mashitaka, tena binadamu ambaye amjiaminisha kuwa mtumishi wa bwana!!

Tatu, wagombea wa vyama vingine (washindani wake) wanaweza kupeleka malalamiko kwa Tume ya Uchafuzi kuhusu mshindani wao ambaye akili zimemruka katikati ya kampeni na hivyo kuomba awe amepumzishwa hospitali ya Mirembe kwanza.
 
Tatizo la Gwajima haijui siasa, ana propaganda za uongo kabisa, wakati wenzie huwa wanaongea uongo unaofanana na ukweli, Gwajima anasema atawapeleka wananchi wa Kawe Marekani wakajifunze kuogelea!.

Mara aseme amechapisha vitabu 15 kwa kijapani, halafu nikivitafuta google sivioni.

Kwa uongo wake, huyu mtu hafai hata kuwa kanisani, bora atafute kazi nyingine ya kufanya..
 
Kwanza kabisa huu ni uvunjifu wa haki ya mtoto, na vibaya zaidi mtoto wa umri wa chekechea kumyima haki yake ya kuwa mtoto na kumtumikisha kwenye siasa, tena siasa za kisanii. Pili, sijui kama wazazi waliombwa ruhusa ya kuwatumia watoto wao wadogo kutumika kwenye usanii huu. Kama wazazi wa Kawe ni wasomi, wanajua haki yao ya kumfungulia mashitaka, tena binadamu ambaye amjiaminisha kuwa mtumishi wa bwana!! Tatu, wagombea wa vyama vingine (washindani wake) wanaweza kupeleka malalamiko kwa Tume ya Uchafuzi kuhusu mshindani wao ambaye akili zimemruka katikati ya kampeni na hivyo kuomba awe amepumzishwa hospitali ya Mirembe kwanza.
Wamshitaki huyu mpuuzi
 
Unaamka asubuhi hujajua kama utakula mchana halafu unaandika upuuzi kuhusu Gwajima ambaye yuko busy na kampeni jimboni halafu utakuja kusema mnaibiwa kura.

Nani asiyejua kuwa Halima amechokwa na wananchi wa Kawe na hawamtaki kabisa. Zamu hii atatusamehe
 
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.

View attachment 1586399
Afukuzwe madarasani tafadhali aache watoto wasome.
 
mgombe
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.

View attachment 1586399
Mgombea lazima ajue hali za wananchi wake haijalishi ni wa umri gani lazima pia apate kujua kero za hao watoto na waalimu na hawezi kuwapata sehemu nyingine kwa umoja zaidi ya shuleni
Hili ni jambo zuri sana Mh
Gwajima oyee
CCM oyeee
 
Bujibuji kijana wa kimara pia mzee usiye na adabu nakuona unavyo jichetua Gwajima sio size yako
 
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.

View attachment 1586399
IMG-20200930-WA0059.jpg
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom