KAMPENI YA TBS YA KUONDOA BIDHAA HAFIFU SOKONI

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
SHIRIKA LA VIWANGO
TANZANIA (TBS), LINAPENDA
KUWAKUMBUSHA WAUZAJI
WOTE WA BIDHAA ZA
MATAIRI YALIYOTUMIKA,
NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA,
VILAINISHI VYA MAGARI NA
MITAMBO(OIL LUBRICANTS)
NA BIDHAA ZOTE AMBAZO
HAZIJATHIBITISHWA UBORA
WAKE NA TBS, KUZIONDOA
SOKONI BIDHAA HIZO MARA
MOJA.
HATUA KALI ZA KISHERIA
ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE
ATAKAYEKAIDI AGIZO HILI.


TANGAZO HILI LIMETOLEWA
NA MKURUGENZI MKUU WA
SHIRIKA LA VIWANGO
TANZANIA.
 
Back
Top Bottom