Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

Na wewe umeanzisha thread

Ha ha haaaaa

Endeleeni kuisona namba na kusaga meno


Magufuli oyeeeeeeeeeee
 
Asubiri hawa watu wamalize Magufuli Baki, najuwa itafanikiwa, ingawa siyo katika maeneo yote

Lakini naamini hii ya kwangu kama haitapata upinzani Wa dola itapata wafuasi wengi. inaitwa Pombe Ondoka
kaeni mkao Wa kula
Hii sio uilete wewe tu mkuu yani inabidi iwe kampeni ya nchi nzima na hata wanasheria watuwekee sawa watusaidie kudai hii haki na sisi kama itazuiliwa tufanye kampeni kwa kuwa wao wana haki kama sisi tena inabidi kampeni zianze sawa wao wakiwa arusha sisi tuwe mwanza
 
upumbavu tu umewajaa hawa hawana maana yoyote....wanaanzaje kampeni kabla ya wakati?
Njaa njaa ya baadhi ya watanzania itawapeleka pabaya.
subirini muda ufike!
 
Hii sio uilete wewe tu mkuu yani inabidi iwe kampeni ya nchi nzima na hata wanasheria watuwekee sawa watusaidie kudai hii haki na sisi kama itazuiliwa tufanye kampeni kwa kuwa wao wana haki kama sisi tena inabidi kampeni zianze sawa wao wakiwa arusha sisi tuwe mwanza

kweli kabisa
 
Wana wasiwasi mkubwa hata 2020 MACCM wenzie wanaweza kumpiga chini kwa ushahidi wa kutosha kabisa kwamba nchi imemshinda kabaki na sera za kukurupuka na chuki za kutisha na vitisho kila leo na kicheko chake cha kinafiki. Sijui hizi chuki za kutisha alizonazo huyu zinasababishwa na nini hasa.
maccm hayajiamini
 
Unafiki ndio kitu kinachosumbua Magamba ndio maana hata ilani yao aifwatwi Kila kitu kinfanya kinafiki
 
John-Pombe-Magufuli-750x375.jpg

Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.

Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.

Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.

Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.

“Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.

Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.

“Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.


Acheni unafiki, maana huo sio umbea...Unafiki ni mbaya sana..
 
waliokosa maarifa utawajua tu eti magu baki, itahusisha kina fulani yaani yeye ndio awaamulie wanafunzi? pumbavu kwelikweli Janeth yalimshinda, Jesca ameshindwa hata kufulu vizuri kwa sababu ya mzazi aina magu home hakuna amani eti mijitu inamuona wa maana saaana, kumbe inatafuta fursa, magu utuache...
 
Back
Top Bottom