Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,078
  Likes Received: 6,256
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.

  Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.

  Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.

  Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.

  “Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.

  Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.

  “Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.
   
 2. bily

  bily JF-Expert Member

  #101
  Jul 17, 2017
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7,761
  Likes Received: 2,746
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa kwamba jamaa aendelee. Mpaka ?? The dude should go people are fed up..
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #102
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,546
  Likes Received: 2,006
  Trophy Points: 280
  Wasisahau kumtafuta Mungu awape...mkataba...wa...kumpa...maisha....kadiri ya hitajio lao

  Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
   
 4. jibril beder

  jibril beder Senior Member

  #103
  Jul 17, 2017
  Joined: Mar 22, 2014
  Messages: 134
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Bora hasara ya makinikia kuliko hii ya magufool
   
 5. Muyobhyo

  Muyobhyo JF-Expert Member

  #104
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 9, 2014
  Messages: 5,730
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  wanajitekenya kweli si kazuia mwenyewe mikutano na maandamano, sasa kupoteza pesa yetu ya kodi kutafuta kick maana yake nini

  nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
   
 6. k

  konyola JF-Expert Member

  #105
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 557
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 180
  KWA VYOVYOTE HUYU ATAKUWA HAJAFANYIWA TOHARA WA PANDE ZA KOLU MI JEI
   
 7. k

  konyola JF-Expert Member

  #106
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 557
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 180
  Ukiona binadam anamsifu shetan jua nae ni shetani
   
 8. s

  singojr JF-Expert Member

  #107
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 1,724
  Likes Received: 1,582
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu anaogopa uchaguzi wa 2020
   
 9. yoga

  yoga JF-Expert Member

  #108
  Jul 17, 2017
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 1,046
  Likes Received: 1,463
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha "magu baki"

  dark continent with dark people posessing dark mind with poor resoning!!!
   
 10. Hansss

  Hansss JF-Expert Member

  #109
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 17, 2015
  Messages: 2,265
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  Eti magu baki wapi labda Chato asirudi tena alikotoka yaan baadhi ya wabongo wanakera sana na jinsi haya yanavyoendelea mtakuja kushangaa 2020 wanasema uchaguz hakuna kwa kuwa watz wote wananikubali kumbe ni hofu ya kupigwa chini.

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 11. Hunyu

  Hunyu JF-Expert Member

  #110
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 3,017
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  Dunia ina mambo
   
 12. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #111
  Jul 17, 2017
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,508
  Likes Received: 1,058
  Trophy Points: 280
  Wengi tutachukuliwa hatua.
   
 13. Umba Tuku

  Umba Tuku JF-Expert Member

  #112
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 4, 2017
  Messages: 2,132
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  da michezo michaf loser wengi tz

  elim elim elim
   
 14. nkulikwa

  nkulikwa JF-Expert Member

  #113
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 21, 2015
  Messages: 571
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 180
  Ukiruhusu hiyo movement ruhusu na movement ya wanaosema asibaki. Maana yake ni kwamba mnaanzisha kampeni badala ya kufanya kazi kwa bidii! Namna Nzuri ya kufanya magufuli abaki ni kujenga viwanda, kuinua hali ya wanyonge kwa kupunguza bei ya bidhaa kama sukari na kutenda haki kwa watanzania wote bila ubaguzi wa Dini, vyama au Kabila . Haya mengine ni kutafuta sifa na kujipendekeza kwake na kujiona bora kuliko wengine!
   
 15. U

  Usiempendakaja Member

  #114
  Jul 17, 2017
  Joined: May 19, 2017
  Messages: 48
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 25
  Huu ndio Mwanzo wa vita....mara baki kampeni....mara mkopo adi kadi la ccm.....tujiandae kuwa wakimbizi.....chokochoko za siasa haziachagi wananchi salama...
   
 16. mfate42

  mfate42 JF-Expert Member

  #115
  Jul 18, 2017
  Joined: Nov 16, 2014
  Messages: 668
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
 17. Geofrey Maseta

  Geofrey Maseta JF-Expert Member

  #116
  Jul 18, 2017
  Joined: Nov 24, 2015
  Messages: 1,097
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Ndo ubaya wa Tusi Empire.. Lazima zipigwe ndo watu akili iwakae sawa

  Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
   
 18. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #117
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,964
  Likes Received: 3,446
  Trophy Points: 280
  Hata akifanikisha hayo, Katiba izingatiwe. Kwani ni yeye tu ndiye anayefaa miongoni mwa watanzania milioni 50? Kwanza huyu sadist hakupaswa hata kuwa Rais; alipaswa kuwa jela sasa kama wanavyopaswa kuwa jela akina Kikwete, Mkapa, Lowassa, Sumaye na viongozi waandamizi wengi wa serikali za CCM!
   
 19. I

  Ilitarakimura JF-Expert Member

  #118
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 7, 2016
  Messages: 1,640
  Likes Received: 750
  Trophy Points: 280
  Rejea takwimu ya Twaweza mkuu,hiyo ndiyo sample yake

  Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
   
 20. MasterP.

  MasterP. JF-Expert Member

  #119
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 3,860
  Likes Received: 1,501
  Trophy Points: 280
  Njaa mbaya jamani..
   
 21. Ngumu kumeza

  Ngumu kumeza JF-Expert Member

  #120
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 450
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Huwa inaanzaaga hivi mwisho wa siku kama yule swahiba wake, hizi chokochoko si bure mazingira yanaandaliwa. Jamani vuteni muda kidogo miaka yenyewe kwenye uongozi ndio inakaribia nusu msimu kwa ile katiba ya kijani zamani. Halafu 5+5=10 au kuna mwenye swali.
   
Loading...