Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,057
  Likes Received: 5,928
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.

  Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.

  Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.

  Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.

  “Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.

  Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.

  “Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.
   
 2. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #81
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,358
  Likes Received: 2,123
  Trophy Points: 280
  Sasa mtu mwenyewe anaitwa mabawa mnadhani kichwani zitakuwemo kweli?
   
 3. utandu

  utandu JF-Expert Member

  #82
  Jul 17, 2017
  Joined: Mar 6, 2014
  Messages: 983
  Likes Received: 1,281
  Trophy Points: 180
  Yani kungekuwa hakuna sheria hapa Jf ningetoa tusi kali hilo tusi lenyewe ni ********** Eeh hilo hilo
   
 4. msumeno

  msumeno JF-Expert Member

  #83
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 3, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Magu baki, nitaongezea .... wenye wivu wajinyongeeeee
   
 5. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #84
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,914
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  serikali ya magu wakikubali ujinga huu, nitajua rais wetu ni mkabila namba moja. na mimi nitanzisha kampeni za kabila langu.
   
 6. O

  Odili JF-Expert Member

  #85
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 8, 2015
  Messages: 1,648
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Hiki kibawa kijinga kweli, yani shida zilivyojazana mitaani kwa ajili ya visasi vya malaika mtakatifu hewa mmoja kenyewe kanakurupuka na kampeni matakataka gani sijui.
   
 7. Targaryen

  Targaryen JF-Expert Member

  #86
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 20, 2017
  Messages: 503
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Magu aje ajichanganye kuruhusu movement za upinzani ndio atashangaa maana sasa ivi upinzani hawana ruhusa ya kufanya mikutano wala kuandamana afu CCM wanajiona wanakubalika bila kufahamu wenzao wamefungwa midomo, hii ni sawa unapambana na mtu analiyefungwa mikono afu unajiona mshindi, magu asitumie pesa za wananchi kuzuia upinzania ajipime kukubalika kwake
   
 8. mushii

  mushii Senior Member

  #87
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 15, 2017
  Messages: 137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 80
  Mkuu.. Sisi watu wa kaskazini ivi soon tutadai uhuru wetu tuwe nchi kamili.

  Subiri uone... Kodi zetu zinaendeshea kampeni zakipumbavu zinamlisha bashite zinajenga makanisa na misikiti chato.


  Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
   
 9. mysterio

  mysterio JF-Expert Member

  #88
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 941
  Likes Received: 959
  Trophy Points: 180
  Wasukuma mna vituko!!!
   
 10. A

  Allineando JF-Expert Member

  #89
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 1,173
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Duuu huyu mleta huu uzi sio mzima kabisa naona.... Akapimwe akili

  Sent from my C6833 using JamiiForums mobile app
   
 11. kadagala1

  kadagala1 JF-Expert Member

  #90
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 2,987
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
 12. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #91
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 979
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Tanzania Kuna waislam wawili tu wanajielewa yule kijana alimnasa mwinyi makofi na Sheikh Ponda wengine wote wanawalamba Miguu ccm! Huyo alhaji sijui wa wapi nae!!
   
 13. titimunda

  titimunda JF-Expert Member

  #92
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 26, 2014
  Messages: 3,809
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  poliTRICKS & poliFIX
   
 14. Cannabis

  Cannabis JF-Expert Member

  #93
  Jul 17, 2017
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 572
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 180
  Hizi ni gia za kumfanya "ABAKI" madarakani baada ya muda wake kupita
   
 15. swalehe shiza

  swalehe shiza JF-Expert Member

  #94
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 3, 2016
  Messages: 960
  Likes Received: 1,466
  Trophy Points: 180
 16. titimunda

  titimunda JF-Expert Member

  #95
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 26, 2014
  Messages: 3,809
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  mkuu ukimwangalia anko pogbery unamuona ana mwonekano wa kuwa raisi,?sema ukweli tu mkuu.
   
 17. J C

  J C JF-Expert Member

  #96
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 12, 2013
  Messages: 1,935
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Kuku maji si ni bata au nimekosea

  Sent from my Z5 using JamiiForums mobile app
   
 18. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #97
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 41,263
  Likes Received: 19,381
  Trophy Points: 280
  Habari za Geita mkuu .
   
 19. m

  mafarisayoo JF-Expert Member

  #98
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 7, 2016
  Messages: 496
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #99
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,776
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  Abaki wapi? Well... Ulitegemea mtu km huyo aseme nini? Halafu watu hawaelewi.... Yaani TCRA iwachukulie hatua? Kama wanamuunga mkono na wanapewa nafasi.... Kwanini wasiomuunga mkono nao wasipewe equal nafasi?
   
 21. ECONOMY

  ECONOMY JF-Expert Member

  #100
  Jul 17, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 361
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
Loading...