Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

abaki wapi....?
tapatalk_1498758933375.jpeg


May Allah bless Me and You
 
Hii nchi tunahitaji msaada Mkubwa kutoka Mbinguni tu ili tusalimike.
Maana viongozi wetu, walishatuona kama takataka.
Mtu, hajamaliza hata muhura wake; mnaanza kampeni za ajabu! Kwa lipi katenda hadi atawale kifalme?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naona dalili ya Rais huyu kutumikia mihula zaidi ya miwili. Haya bila shaka ni habari mbaya kwa wenye nia na urais chamani kama Mwigulu, January, Majaliwa na Polepole ambao nina uhakika kwa nafasi walizonazo hivi sasa wanayakodolea macho Ikulu ya Chamwino.
 
Huyu mzee amekaa hii miez kadhaa kachoka namna hii, Je akikaa hata miaka kumi itakuwaje..?

kuna kile kipind watu walisema hawezi shinda tena uchaguzi, lakin sasa hiv story zimebadilika inaonekana ni jins gani atazuiwa kukaa zaidi ya miaka 10 na maana yake ni kuwa tayar amefanikisha kukaa miaka 10 mpaka sasa hivi.
 
Nchi kama nchi haina hasara bali faida kubwa sana na tunamshukuru Mungu sana kutuletea kiongozi huyu, maana kama angekuja yule Babu sijui leo tungekuwa Wapi kama taifa!!! Magufuli back, you deserve to be our president.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Abaki wapii ????...labda chatoo na sio madarakani
Wasitua ribie katibaa...!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom