Kampeni: Susia vichwa vya Bandiko Vibovu (SVBV)

Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,124
2,000
Wapendwa wana JF,
kutokana na kuongezeka kwa mabandiko yenye vichwa vya habari vibovu (msaada, msaada haraka, kwa anayejua, n.k) nimeonelea kuwe na kampeni maalum.
Mtua akiandika bandiko kama hili, lisijibiwe bali abandikiwe kiunganishi hiki. Hii itasaidia kuwa na vichwa (heading) vinavyoeleweka kwani kwa sasa inabidi usome bandiko lote ndio uelewe hasa nini kinaongelewa

Kama Umeunganishwa na Bandiko hili kwa kichwa cha bandiko kibovu:
1. Usirudie tena kuweka vichwa visivyo na maana yeyote!
2. Kichwa cha bandiko lako kielezee kwa ufupi unahitaji msaada gani. Mfano "Msaada: Kompyuta haiwaki baada ya radi kupiga nyumba yangu"
4. Bandiko sio hadithi, eleza kinachokusibu na nini unahitaji msaada.
5. Hapa sio mahali pa mashine za kujibia maswali. Tafadhali onyesha juhudi zako kwanza kutatua tatizo.
6. Rudi ukaandike sasa bandiko lenye maana
7. Endeleza kampeni hii!

BH,
CTO Hosanna Higher Technologies.
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,473
2,000
1. Usirudie tena kuweka vichwa visivyo na maana yeyote!
2. Kichwa cha bandiko lako kielezee kwa ufupi unahitaji msaada gani. Mfano "Msaada: Kompyuta haiwaki baada ya radi kupiga nyumba yangu"
4. Bandiko sio hadithi, eleza kinachokusibu na nini unahitaji msaada.
5. Hapa sio mahali pa mashine za kujibia maswali. Tafadhali onyesha juhudi zako kwanza kutatua tatizo.
6. Rudi ukaandike sasa bandiko lenye maana
7. Endeleza kampeni hii!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom