Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000
Kaburu ni kaburu tu hata kama ni mweusi Jk nyerere

Watanzania tunaopenda taifa letu bado tupo wa kutosha kuzuia juhudi zozote za kuliweka taifa letu mikononi mwa mabeberu, na badala yake kuchagua kuendelea na juhudi za kulijenga zinazoendelea!
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,493
2,000
Watanzania tunaopenda taifa letu bado tupo wa kutosha kuzuia juhudi zozote za kuliweka taifa letu mikononi mwa mabeberu, na badala yake kuchagua kuendelea na juhudi za kulijenga zinazoendelea!
Heri ya mabeberu kuliko wakoloni weusi
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,110
2,000
Nitapost mtizamo wangu baada ya October 28. Matokeo ya uchaguzi ni wingi wa kura, siyo wingi wa wahudhuriaji wa mikutano ya kampeini au wengi wa supportes kwenye mtandao. Katika makosa makubwa sana ambayo vyama vyote vya upinzani hufanya ni kukaidi uchaguzi wa serikali za mitaa ambako ndipo kura huanzia. Kwa vile chedema haina connections kule mitaani bali hawa wa mitandani na wale wa vijiweni tu; tusubili tupate matokeo halisi, na vile vile tusifure kutaka kuleta fujo kwa kutopata kura za kutosha tukasingizoia tume.
 
Mr Lyanga

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
283
250
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.

Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko.

Wakti Magufuli(CCM) ANATUMIA nguvu kubwa sana kwene Kampeni zake kwa MABANGO MAKUBWA KILA KONA YA NJI HII Mhe. Lissu(CHADEMA) anaonekana anajitangaza KUPITIA NDANI MIOYO YA WATANZANIA MASKINI waliopoteza matumaini. Watz Hawa wanamwona Mhe. Lissu kama mtu anayekwenda kurudisha matumaini yaliyopotea kwa miaka 5.

Ogopa sana kushindana na falsafa iliyojengeka ndani ya mioyo ya Watu na propaganda za midomoni zisizo na tija wala impact yoyote kwene maisha ya kila siku ya Watanzania.

Mfano hai: Jiji la Dar limejengwa Flyovers za Mfugale na Ubungo Changeover lakini mvua ya siku 1 imeleta mafuriko na kupoteza maisha ya WATANZANIA wenzetu 12 wasio na hatia!!!

Acha mawazo ya mgando ww, mafuriko yameua watu 12 wasio na hatia kwani hayo mafuriko kayaleta Magufuli ? Au ccm imeyaleta mafuriko ? kama jibu n hapana kwanini uilaumu serikali kuwa mafuriko yameua watu 12 wasio na hatia, Toa hoja zenye mashiko broo achanana na hoja za kitoto, kuna vitu n natural disaster huwezi kuzuia, mbona matetemeko ya ardhi na tsunami vinaua watu mara kwa mara kule Japan na uchum wa japan ni wa 3 duniani kwa ukubwa lakini umeona wananchi wanailalamikia serikali kuwa ndo imesababisha matetemeko au Tsunami, Mbona Marekani vimbunga vya Katrina kutoka baharini vinapitaga na uhai wa mamia ya wamarekani karbu kila mwaka lakin umewah kuona wanailaumu serikali kuwa imesababisha kimbunga, China kwenyewe mafuriko yanatokea na kuua watu na miundo mbinu kibao inaharibiwa (ingawa ndo taifa tunalolitegemea kwa ujenzi wa miundo mbinu huku afrika) lakin umeona wachina wanalalamika labda serikali imeleta mafuriko, Kwa akili zako naona hata hupaswi kwenda kupiga kura mpaka utakapojitambua kwanza kwa kufanya upembuzi wa mambo kwa uyakinifu.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,755
2,000
Watanzania tunaopenda taifa letu bado tupo wa kutosha kuzuia juhudi zozote za kuliweka taifa letu mikononi mwa mabeberu, na badala yake kuchagua kuendelea na juhudi za kulijenga zinazoendelea!
Hakuna mzalendo hapo kuna mwenye njaa tu na fisadi anayetaka kudhulum watanzania na miccm yake.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,755
2,000
Acha mawazo ya mgando ww, mafuriko yameua watu 12 wasio na hatia kwani hayo mafuriko kayaleta Magufuli ? Au ccm imeyaleta mafuriko ? kama jibu n hapana kwanini uilaumu serikali kuwa mafuriko yameua watu 12 wasio na hatia, Toa hoja zenye mashiko broo achanana na hoja za kitoto, kuna vitu n natural disaster huwezi kuzuia, mbona matetemeko ya ardhi na tsunami vinaua watu mara kwa mara kule Japan na uchum wa japan ni wa 3 duniani kwa ukubwa lakini umeona wananchi wanailalamikia serikali kuwa ndo imesababisha matetemeko au Tsunami, Mbona Marekani vimbunga vya Katrina kutoka baharini vinapitaga na uhai wa mamia ya wamarekani karbu kila mwaka lakin umewah kuona wanailaumu serikali kuwa imesababisha kimbunga, China kwenyewe mafuriko yanatokea na kuua watu na miundo mbinu kibao inaharibiwa (ingawa ndo taifa tunalolitegemea kwa ujenzi wa miundo mbinu huku afrika) lakin umeona wachina wanalalamika labda serikali imeleta mafuriko, Kwa akili zako naona hata hupaswi kwenda kupiga kura mpaka utakapojitambua kwanza kwa kufanya upembuzi wa mambo kwa uyakinifu.
Mvua ya masaa mawili inaleta mafuriko Dar kwenye miundombinu iliyoboreshwa na serikami ya awamu ya tano??
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,755
2,000
Nitapost mtizamo wangu baada ya October 28. Matokeo ya uchaguzi ni wingi wa kura, siyo wingi wa wahudhuriaji wa mikutano ya kampeini au wengi wa supportes kwenye mtandao. Katika makosa makubwa sana ambayo vyama vyote vya upinzani hufanya ni kukaidi uchaguzi wa serikali za mitaa ambako ndipo kura huanzia. Kwa vile chedema haina connections kule mitaani bali hawa wa mitandani na wale wa vijiweni tu; tusubili tupate matokeo halisi, na vile vile tusifure kutaka kuleta fujo kwa kutopata kura za kutosha tukasingizoia tume.
Mbona magu anahaha kuwakushanya na malori?? Usichojua ni kuwa kuna direct link kati ya wingi wa kura na wingi wa wahudhuriaji kwenye mikutano. Uwingi maana yake watu wa aunga mkono sera zako. Wewe mbumbu usiyejua huelewi magufuli anajua ndio maana lazima watu walipwe kujaza vichwa
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa walichaguliwa na nani?? Hawakuchagukiwa wale walipita bila uchaguzi a.k.a bila kupingwa
 
rolla

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,079
2,000
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi 1992.
Kushinda ni kwa ule utaratibu wa kawaida wenyewe wanasema "change kwota"
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,689
2,000
Nitapost mtizamo wangu baada ya October 28. Matokeo ya uchaguzi ni wingi wa kura, siyo wingi wa wahudhuriaji wa mikutano ya kampeini au wengi wa supportes kwenye mtandao. Katika makosa makubwa sana ambayo vyama vyote vya upinzani hufanya ni kukaidi uchaguzi wa serikali za mitaa ambako ndipo kura huanzia. Kwa vile chedema haina connections kule mitaani bali hawa wa mitandani na wale wa vijiweni tu; tusubili tupate matokeo halisi, na vile vile tusifure kutaka kuleta fujo kwa kutopata kura za kutosha tukasingizoia tume.
Miaka yote mmekuwa wezi lakini mwaka huu mtapambana na mwamba asiyetetereka nyambafu na hizo connection zenu za wizi
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
977
1,000
Hakuna mzalendo hapo kuna mwenye njaa tu na fisadi anayetaka kudhulum watanzania na miccm yake.

Africa nzima lazima ikushangae. Watu walipigana kufa na kupona ili kujiondoa kutoka kwenye mikono ya mabeberu halafu wewe unalilia kurudi kwenye mikono ya mabeberu kwa maslahi binafsi ya vibaraka fulani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom