Uchaguzi 2020 Kampeni hata zikisimama mbona somo limekwisha eleweka?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,822
35,817
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni.

Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa:

Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata Wagombea.
 
Bia yetu, Kawe almni ,Jingalao, Crimea, wa kudadavua wanamdai Fedha za Ujira Mr slow slow Aka chagubanga.

Chakubanga alinunua sana wabunge wa upinzani kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi.
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni.

Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa:

View attachment 1591347

Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata wagombea.
Kweli kazi imeeleweka
 
Back
Top Bottom