Haya jamani Watanzania wenzangu Benny ndio hivyo kapata pigo kubwa kwa kumwangwa kwenye kinyanganyiro cha kuwania tuzo za kiongozi bora barani africa yote kwa sababu alikuwa na atamaa ya kujilundikizia mapesa yeye pamoja na mke wake...MKAPA NA MKE WAKE NI WEZI WAKUBWA WAMEIIBIA SANA SERIKALI YETU.
Utavuna ulichopanda hapa duniani na si ajabu hata katika pumziko la milele.
Bubu Atakakusema nakuhakikishia huwezi kusema kwa chuki binafsi dhidi ya Shujaa wetu wa uchumi, miundombinu na duru za kimataifa. Hii thread ya 2007 umeivuta tu kutaka kuchefua watu. Ushindwe kwa dini yako
hii ni crap from stuxnet.....new kid on the blog..!!Bubu Atakakusema nakuhakikishia huwezi kusema kwa chuki binafsi dhidi ya Shujaa wetu wa uchumi, miundombinu na duru za kimataifa. Hii thread ya 2007 umeivuta tu kutaka kuchefua watu. Ushindwe kwa dini yako