Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

Ah wapi kuna airfreshner siku hizi ndugu yangu...............

Ha ha ha! Umenikumbusha yule mtafiti wa pale Kibasila S.S. aliyekuwa anatunza vinyesi vyake kwenye sahani na vyombo vyake vya ndani. Nadhani hapo air freshener itagonga kisiki.
 
ndugu Ndugai ,na magamba wenzio
kwahiyo malaria ya kuondoka Lowasa ndo
ishaanza kuwapanda hadi kichwani..?

pia mie naona huyu gamba kazima baada ya LOWASA
kuhama ugambani kwani ndio alikuwa tegemeo lake kwa
hali na mali...sasa kabaki mtoto yatima ugambani.

attachment.php

Sasa mbona hawamwaishi hosipitali i.e. kumkimbiza hosipitali jamani hawa wana ubinadamu kweli?!
 
Hayo pia yamewatokea akina Kamani na Chegeni. Wao wamepimana nguvu lkn hakuna alisalimu amri na mechi imepelekwa mbele mpaka siku yoyote wakikutana. CCM BUANA
 
Haya majitu hayana maadili wallahi na yalijua hayawezi kuwa nayo ndio maana yaliyanyofoa kwenye Katiba Pendekezwa.
 
Vita vya panzi,furaha kwa kunguru! Hyo ni ishara ya kihama cha CCM 2015,UKAWA njia nyeupe.....:sick::sick::sick:
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Hivi vituko ktk kura za maoni, je ktk kampeni za uchaguz mkuu itakuwaje ?!.

viongoz wa ccm walijisahau sn.
 
Naibu spika Job Ndugai azichapa kavu kavu na mtangaza nia mwenzie jukwaani kwenye jimbo la kongwa na kupelekea mgombea mwenzie kuzimia.....

Video nimeshindwa kuiupload hapa
 

Attachments

  • 1438158801729.jpg
    1438158801729.jpg
    56 KB · Views: 268
Hakuna video tuona huo mtama uliozimisha kama ni sawa na ule wa Kalokola?
 
Back
Top Bottom