we Preta bana!!!!!baada ya hapo tunaelekea wapi....mi nitakuja kukupa company........
baada ya hapo tunaelekea wapi....mi nitakuja kukupa company........
Pole sana umelazimishwa?Yap, kampani nilipata. Harusi zinatamanisha kuoa, lakini demu niliye nae namuona kama vile +ve na -ve haeleweki.
Embu niambie baafda ya kupata kampani ulimtambulisheje?mlipiga stori gani?
Kuna vitu vigumu kuelewa ujue