Kampani ya mdada yakwenda kwenye Harusi.

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
5,306
6,443
Kwa mdada ambaye atakuwa huru kunipa kampani kwenye harusi ya rafiki yangu anakaribishwa sana. Harusi itakuwa tarehe 01/12/2012 Jumamosi, ukumbi giraffe ocean view hotel. Ni - PM.
 
Tuhakikishie kua gharama zote ni juu yako, ikiwemo pamba za bidada.
 
baada ya hapo tunaelekea wapi....mi nitakuja kukupa company........
 
hahahaha!!! we baki huko huko. kizai zai utagharamia pamba nyepesi na mapouwwder??? kupendeza muhimu.

Yap, kampani nilipata. Harusi zinatamanisha kuoa, lakini demu niliye nae namuona kama vile +ve na -ve haeleweki.
 
baada ya hapo tunaelekea wapi....mi nitakuja kukupa company........

Harusi ilikuwa poa. Baada ya harusi ningekukimbia nilizidiwa kidogo na red wine, ila ningekuachia nauli ya bodaboda.
 
Embu niambie baafda ya kupata kampani ulimtambulisheje?mlipiga stori gani?
Kuna vitu vigumu kuelewa ujue
 
Embu niambie baafda ya kupata kampani ulimtambulisheje?mlipiga stori gani?
Kuna vitu vigumu kuelewa ujue

Nilimtambulisha ni rafiki yangu, stori nyingi zilikuwa kuhusu harusi yenyewe jinsi ilivyo, je yeye akiolewa angependa harusi yake iweje, changamoto za kazini na mengine mengi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom