Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,509
Nakubaliana na wewe hapa 100%!!! Hii ripoti ni ya upuxi tena sana.Hizi report hizi!! Kampala nayoijua mimi.. ni hectic, kwenye mji ambao ni mgumu kuoboresha ni Kampala, Upo kwenye vilima bara bara nyembamba, boda boda zime jaa kama sisimizi. Vi hiace kibao, yani ni vurugu. Halafu ni dirty na maji upatikanaji wake ni mgumu mno
Yaani hii hii Kampala ninayojua mimi?
-boda boda nyingi zinafuatana kama siafu kila mahali, na zinavyoendeshwa kihatari.
-hawkers hawkers hawkers kila mahali. Pedestrian spaces karibu hamna!
-Mpango mji uko wapi pale? Barabara ndani ya mji ni madogo na parking spaces nadra.
-barabara ndani ya mitaa mengi ni ya matope/ vumbi (kulingana na hali ya hewa)
- mji ni mchafu
Kwa security labda wako sawa sana kushinda Nairobi.