Kampala yaongoza EAC kwa unafuu wa miji, ila Dar imetupwa kulee...mifoleni kutwa

south2.jpg
umeamua jujilekebisha kutuletej matuta mnayojenga
 
Umemaliza kila kitu kuhusu Kampala.. nime ishi kwa muda pale ila kuna sehenu bado unaeza nipoteza. Vurugu ni nyingi kila sehemu mtu anasambaza bidhaa. Hiyo report ingekua na ukweli kama Kampala ingewekwa ya mwisho kwenye miji ya E.A.
Hapana, hii ripoti siamini. Nairobi kweli ina mengi mabaya, lakini ati kwa kuangalia vigezo vilivyotumika ati halafu kusema ati Kampala imezidi hizi miji mingine kwa vigezo hivyo ni kichekesho bilashi.

This report is rubbish.
 
Sio makosa yake, manake barabara za aina hiyo ziko nyingi Nairobi, ni vigumu kujua kiuhakika ikiwa hiyo ni picha Nairobi au la.

Aliyekosea hapo siyo yeye. Najua alikotoa picha hizo. Website hiyo ndiyo ilikosea kati ya hizo picha mbili gani ndiyo ya Southern Bypass.
Nyingi wapi? Zakwenu mnatumia matuta sio beam. Labda kama anaishi ushago
 
Dar must have ten lane go opposite direction( 5 lane + 5 lane) including metro bus or light railway
 
It's funny to witness how East African Shitholes dwellers (Kenya ,Tanzania and Uganda ) hardly scrummble to make their Cities look better in Words.......................
 
Hongereni Kampala...sisi huku Dar bado tunahangaika na kupanua mtandao wa wasiojulikana ili wawanyamanzishe wanaompinga kiongozi mkuu mtarajiwa Wa malaika

Unaongea kama mtu anayetoka chooni. Kisa. Kutunwa unamjua Museveni wewe. JPM is a Good man. Nenda Huko Kampala kama utarudi Mara mbili kumtaja. Alizima mpaka Insta .hapa TZ mnapelekwa mahakamani na mnatoka. Jaribu kwa Museveni. Nyie ndo waharibu amani tena kwa makusudi Afu mnakuja mitandaoni. Mnaangaliwa. Ahhh kweli Nyani haoni kuuuuu
 
Back
Top Bottom