Kampala university lecturer ni Vilaza mbaya

Mulyambange

Member
Mar 14, 2015
62
20
Kampala international university
Walimu wake hawana sifa then mwalimu mmoja anafundisha miaka yote mitatu

Mwaka wa kwanza yy

Mwaka wa pili


Mwaka na watatu
 

Attachments

  • 1454668736653.jpg
    1454668736653.jpg
    184.4 KB · Views: 39
Hiki chuo kimeishawahi kulalamikiwa mala nyingi tu, sijui wahusika wamechukua hatua gani?
 
Mhhh au kubana matumizi hiki chuo hakiishi vituko mtujuze waliopita hapo maana tunatarajia wahitimu wawe competative
 
Unapimaje ukilaza wa MTU, kwa sababu ufundishaji unahitaji maandalizi, kama wewe haukujiandaa ni shida kufundisha kwa ufasaha hata kama una PhD .
 
Back
Top Bottom