KAMPALA: Mwanafunzi wa Harvard amshtaki Rais Museveni kwa kumblock Twitter

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
14441048_1257806004269534_5060457776025876031_n.jpg

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Harvard na raia wa Uganda amefungua kesi akiwashtaki, Rais Yoweri Musreveni, Msemaji wa Serikali, Ofwono Opondo na Mkuu wa Kitengo cha Siasa ndani ya Idara ya Polisi, Asan Kaingye kwa kumzuia kuzitembelea akaunti zao za Mtandao wa Twitter

Kijana huyo anayesoma Shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa amefungua shauri hilo kupitia kwa Wakili wake Male Mabirizi kwa sababu yeye hayupo nchini Uganda kwa sasa

Anasema kuwa alizuiwa kuzitembelea akaunti hizo kuanzia Julai, 20, 30 na Agosti 8 kitendo ambacho kimemsababishia ashindwe kutoa maoni yake kuhusu taarifa mbalimbali za masuala ya kiserikali wanazozitoa kupitia akaunti zao

======

A Harvard University student in the United States of America (USA) has dragged President Museveni to court for blocking him on his Twitter handle.
The President was sued alongside government spokesperson Ofwono Opondo and the police’s Chief Political Commissar, Mr Asan Kasingye, whom he accused of also blocking him from accessing their Twitter handles.

In his law suit filed before the High Court in Kampala yesterday, Mr Hillary Innocent Seguya Taylor states that he is a Ugandan citizen pursuing a Master’s degree in International Relations.

He stated that for the purposes of his application, he appointed his lawyer Mr Male Mabirizi since he is not in the country.

Mr Seguya contends that the President, government spokesperson and the police’s chief political commissar use their respective Twitter handles as public fora to disseminate information relating to the activities of their public offices in their official capacities and to get feedback from citizens.

Mr Seguya explains that as a citizen who is living abroad, he is only capable of getting information relating to his country’s governance and to communicate to the respective officers including the Fountain of Honour through social media.

“That before being blocked, I used the same Twitter social media platform handles to communicate my views, dismays and suggestions to the respective officers,” Mr Seguya states.

He adds: “The effect of blocking me from the respective Twitter accounts is that I am now not capable of following and viewing the Tweets on their respective Twitter social media platform handles and hence not capable of contacting, replying, liking, tagging, retweeting and knowing the public information thereon or commenting on the same.”

He asserts that blocking of his Twitter handle, @HillaryTaylorVI, from accessing the respective three handles on July 20, 30 and August 8, was done without giving him notice.

He is now seeking an order to quash the decision of the three officials, and general damages of the inconvenience caused.

Affording him a hearing.

Mr Sseguya further contends that the decision of the government officials is illegal, improper and irrational because the said Twitter accounts are used in public domain to communicate and receive feedback from citizens.

According to the court documents, Mr Seguya has brought to court evidence of 27 tweets in which the President tweets and communicates the official government positions about the work done by his office.

He is now seeking an order to quash the decision of the three officials, general damages of the inconvenience caused.
 
Kwa kosa hili mahakama iwape adhabu ya viboko 12 ili liwe fundisho kwa watu wengine wanaowablock wenzao kwenye 'twira'
 
Mwanafunzi Mmoja anayesoma huko Havard Hillary Taylor ameamua Kumshtaki Mahakamani Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa Kosa la Kumbloku katika Twitter Akaunti yake. Alipoulizwa ni kwanini labda ameamua Kuchukua hiyo hatua Kisheria akasema kitendo cha Rais Museveni Kumbloku kimemnyima Yeye Fursa ya Kumuhoji juu ya Uongozi wake mbaya na anadhani Haki yake imepotea na Museveni amemuonea kwa hilo.

Na Mimi nina Viongozi wangu hapa hapa Tanzania tena Wakubwa tu wamenibloku sijui na Mimi nikawashtaki kwani kwa Kunibloku Kwao wamesababisha Mimi cleverbright nisipate Haki yangu ya kuzidi Kuujua Upuuzi wao hasa katika Utendaji na Uongozi wao.

Je Wataalam wa Sheria nchini na hasa Wanamitandao hivi kumbe Sheria kama hizi zipo duniani na kwamba kila Mwanadamu ( Mtumia Mitandao ya Kijamii hii ) ana Haki kabisa ya Kisheria Kumshtaki Mtu ( hasa Kiongozi ) kwa Kumbloku / Kublokiwa nae?

Chanzo Taarifa: The EastAfrican / Daily Monitor.
 
Sijui kama hicho kipengele kimo ndani ya sheria ya mitandaoni.
Ngoja waje wajuvi watujuze
 
Back
Top Bottom