Kampala international university ni ubabaishaji mtupu

LUKAZA

Senior Member
Nov 30, 2010
140
70
Wanafunzi wa chuo kikuu Kampala International University Tawi la Dar es Salam leo Wameingia barabarani kushindikiza serikali ije kuwasikiliza kutokana na kilio chao cha muda mrefu cha matatizo ambayo yanajulikana na Serikali kuu na Kushinwa kuyatatuwa au kuwasikiliza Matatizo Hayo ambayo TCU wanayajuwa HELB wanayajuwa Wizara ya Elimu wanayajuwa lakini wanashindwa kuyafanyia kazi kwa ni katika Kipindi kisichopungua mwezi mmoja nyuma viongozi wa TCU na HELB walifika chuoni WAkiongozwa na MUCHUNGUZI ambae Ni miongoni mwa Mafisha wakubwa kutoka TCU na kuwaahidi wanafunzi kuwa matatizo yao yatatatu liwa ndani ya wiki mbili na solution itapatika na lakini hali imekuwa tofauti kutokana na kauli ya Waziri wa Elimu Dk Shukuru kawambwa kusema kuwa matatizo hayo hayajuwi na wala selikali ya wanafunzi haikuwahi kupeleka kwa maandishi swali linakuja kama hayakupelekwa kwa maandishi hawa wakina Muchunguzi walikuja na kuyaorodhesha ilikuwa wanayapeleka wapi? pia waziri huyo alimjibu kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi kuwa Wasiende kuandamana ataomba police wawatie adabu lakini police wa kuwalinda wakati wa maandamano yao hawapo
hata ivo matatizo hayo ni kama:-

1) Kulipa ada kwa dola na Ada hiyo kuwa kubwa kuliko vyuo vyote Tanzania na Kuwa huduma wanazozitowa hazirishi kama kusomeshwa na walimu wa Degree na wanafunzi wakiwa wanasoma degree

2) Kulipa Ada ya Cosoldate fees or Other fees ambayo wanalipa kwa mwaka $460 ambazo pesa hizo hazina uchanganuzi wake katika matumizi yaani mwanafuzi alipe tu hajuwi hata nini kinatumika kwa pesa hiyo miongozi mwa wanafunzi wanapinga hatua hiyo na kuwataka watoe uchanganuzi

3)aduation kufanyika Uganda hali ya kuwa chuo kipo Tanzania na wakahoji wanafunzi mbona St josef hawendi kufanya mahafali India

4) mahafali kulipa Laki 4 na pesha izo hazijulikani za nini pia baada pesa hiyo ulipe 40,000 kwa ajili ya Transcript

kwa kweli ni matatizo mengi

Hata ivo Mkuu wa mkowa Busara zake leo Aliweza kufanya kazi ya Ziada kuwanasihi wanafunzi kutulia na matatizo yao atayafuatilia na kuahidi Alhamis atawapa majibu

Hata ivo kesho mgomo unaendelea
 
poleni.....sana ila ushauli wangu....hameni chuo.......hicho chuo ni ubabaishaji mtu.......graduate wa hapo hawakubaliki maofisini ni heli usome......kata college za wahindi
 
Back
Top Bottom