kuna habari kwamba
CP Hamdan Omari Makame ni mtaalam wa mambo ya IT kwa ukumla , ni msomi aliepitia chuo cha DIT(advance diploma ), marekani, Canada, china, Australia na nchi nyegine nyingi.
Alikuwa mkuu wa IT tanzania.
Thanks
Nimefurahi yule kamishna mussa ali mussa ameondolewa zanzibar,..wamemleta kitengo kimoja cha "Propaganda" na KOVA maana wote watakua based dar..sipati picha wakifanya press conference pamoja..huyu kanda maalum (Propaganda) yule polisi jamii (Propaganda) huyu ana macho kama chura, yule ana meno kama fisi..hataree

Some joke this is!
Some joke this is!