Kamishna mpya wa Zanzibar, ni msomi na mtaalam wa mambo ya teknlojia ya habari

ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
52
Kuna habari kwamba
CP
Hamdan Omari Makame ni mtaalam wa mambo ya IT kwa ukumla , ni msomi aliepitia chuo cha DIT(advance diploma ), marekani, Canada, china, Australia na nchi nyegine nyingi.
Alikuwa mkuu wa IT tanzania.

Thanks
 
kuna habari kwamba

Nimefurahi yule kamishna mussa ali mussa ameondolewa zanzibar,..wamemleta kitengo kimoja cha "Propaganda" na KOVA maana wote watakua based dar..
sipati picha wakifanya press conference pamoja..huyu kanda maalum (Propaganda) yule polisi jamii (Propaganda) huyu ana macho kama chura, yule ana meno kama fisi..hataree
 
Hahahaha......
 
BTW hicho cheo sijawahi kukisikia hapa nchini..hebu nijuze kidogo...maana sijawahi muona wala kumsikia akizungumzia cyber crime ama website ya ikulu..ma IT nisaidieni..
 
Nimefurahi yule kamishna mussa ali mussa ameondolewa zanzibar,..wamemleta kitengo kimoja cha "Propaganda" na KOVA maana wote watakua based dar..
sipati picha wakifanya press conference pamoja..huyu kanda maalum (Propaganda) yule polisi jamii (Propaganda) huyu ana macho kama chura, yule ana meno kama fisi..hataree

Some joke this is!

commission__hyena_and_tree_frog_by_nocturne00-d6ddkz8.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom