Kamishna Mkuu wa Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers Sianga ametumbuliwa?

Mchemiaa

Senior Member
Jan 7, 2018
174
188
Leo ni mara ya pili naona anatajwa mtu mwingime kwenye madawa ya kulevya badala ya Sianga.

Mara ya kwanza kwenye uzinduzi wa jengo la zima moto wenye utambulisho wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama alitajwa mtu mwingine.

Leo pia kwenye hotuba ya waziri mkuu naona sianga ajatajwa

Je, jamaa alitumbuliwa? mbona sijawahi kusikia haya mabadiliko.
 
Dah!

Alikuwa mtata sana kukimbizana na miraa pande hizi kabla hajala hilo shavu jipya. Ila hata hivyo yuko chini ya rada sana hasomeki. Wajuvi watasema...
 
Alitumbuliwa siku nyingi tu,sema ilikuwa kimya kimya na siku moja mkuu alitaka kujichanganya kwenye hotuba yake, baadaye akapotezea ila wengi hawakuelewa

Kifupi jamaa alivuta mpunga wa maana sana, baada ya hapo akapigwa chini

mmmh ya kweli haya mkuu? kwann iwe kmya kmya
 
Alistaafu kwa mujibu wa sheria.
Alitumbuliwa siku nyingi tu,sema ilikuwa kimya kimya na siku moja mkuu alitaka kujichanganya kwenye hotuba yake, baadaye akapotezea ila wengi hawakuelewa

Kifupi jamaa alivuta mpunga wa maana sana, baada ya hapo akapigwa chini
 
daah nlikuwa namkubali sana yule mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Napendezwa sana na watu kama wewe! Watu wanaowakubali wengine na kukiri hadharani mbele ya watu. Ukiona mtu anakiri hadharani kuwa anamkubali mtu fulani, ujue kuwa ni kweli anamkubali mtu huyo, na anazo sababu za msingi kabisa za kumkubali mtu huyo! Sipendezwi kabisa na watu walio kinyume chako!
 
Alistaafu kwa mujibu wa sheria kwa sasa yupo James Kaji ila ana kaimu jamaa anachapa kazi hasa..

Natumaini kwa siku za usoni atakuwa kamishina mkuu wa hiyo taasisi ya kupambana na dawa za kulevya..
 
Rogers alistaafu kwa mujibu wa sheria, huyu wa sasa hivi anaye kaimu alikuwa mmoja wa bodyguards wa mkuu nchi

mtu wa kazi kama sianga rodgers mwezi uliopita huku mitaa ya mbezi walikamata kama 200 kg heroin na jamaa yupo front line na vijana wake kwenye ukamataji
 
Leo ni mara ya pili naona anatajwa mtu mwingime kwenye madawa ya kulevya badala ya Sianga.

Mara ya kwanza kwenye uzinduzi wa jengo la zima moto wenye utambulisho wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama alitajwa mtu mwingine.

Leo pia kwenye hotuba ya waziri mkuu naona sianga ajatajwa

Je, jamaa alitumbuliwa? mbona sijawahi kusikia haya mabadiliko.
Alistaafu kwa ugonjwa usiojulikana
 
Back
Top Bottom