nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
yaani kama umesoma kwenye jukwaa la entertainment story ya mwandishi nguli bwana Bishop hilluka iitwayo tax utagundua ka twist majina fulani kwa mfano kwenye story yake ambayo ime base kwenye maeneo ya ukweli ya jiji la dsm kuna Rais aitwaye Yohana funguo, IGP aitwaye solomon zirro halafu kuna kamishna mamboleo
kwenye story ya tax kamishana mamboleo ni mtu anayechukizwa na uhalifu ndani ya jiji la dar es salaam anaonekana ana hasira sana na utekaji,mauaji na uhalifu,halali kabisa kutokana na uhalifu huo
sasa njoo kwa the real kamishana mamboleo a.k.a mambosasa ni maajabu,need I say more,TULIONA UONGO WAKE KWENYE ISSUE YA MO DEWJI,ABDUL NONDO,TITO MAGOTI hata RPC wa kinondoni tumemuelewa kuliko yeye,he simply doesnnot care,hitoria itamuhukumu kama mojawapo ya MAKAMISHANA WABOVU WA POLISI KUWAHI KUTOKEA NCHINI