Kamishina mkuu TRA tusaidie ofisi za TRA Mwanza ni shida tupu

Je Mleta Uzi anaelewa hayo?
Haipasi kulalamikia kitu ambacho hujanielewa vizuri!
Kwanza chukua muda kukifahamu vizuri kiundani kisha ndo ulalamike pale panapostahili!
Mambo ya kukimbilia Kwenye mitandao na ku complain mambo ambayo Hata Mtu hujayaelewa vizuri nazani siyo Sawa Hata kidogo!
Wewe ndo hujamuelewa
 
Afadhali hapo umefunguka kidogo kutaja leseni ya gari!
Leseni ziko Za aina nyingi Kama vile Za biashara, Za uendeshaji vyombo vya moto, Za uwindaji n.k
Sasa kuhusu swala lako la Leseni la udereva kuwa umelipia ukaambiwa utumie payslip ,
Je uliwauliza Kwanini hawajakupa Leseni yako hapo hapo?
Nilitarajia uwaulize Hilo swali la msingi Kabla ya kuja kulalamika huku!
Pengine wangekwambia labda materials yameisha, kuanzia hapo sasa ungepaswa kujenga hoja ya msingi ya malalamiko yako ambayo yamkini ikisikika vizuri ingeweza kuwasaidia na Watu wengine!
Wanajibu materials hazipo. Toka mwaka jana! Hizo material zinatoka mbinguni?
 
Leseni ya uwindaji nayo inatolewa TRA? Jisahihishe kwanza katika comprehension/ufahamu
 
Je Mleta Uzi anaelewa hayo?
Haipasi kulalamikia kitu ambacho hujanielewa vizuri!
Kwanza chukua muda kukifahamu vizuri kiundani kisha ndo ulalamike pale panapostahili!
Mambo ya kukimbilia Kwenye mitandao na ku complain mambo ambayo Hata Mtu hujayaelewa vizuri nazani siyo Sawa Hata kidogo!
Suala la kutotoa documents baada ya kuwa umelipa kodi husika nalo unahitaji kuelewa nini hapo, ni kutotimiza wajibu wake hiyo TRA, ambapo mlipakodi ametimiza wajibu, HII NI AIBU
 
Kusema documents ni general term, kwanini asingefufuka kabisa kutaja leseni ya udereva?
Wengi wamechukulia alikuwa anazungumzia Clearance Certificate !
Hata hivyo malipo ya leseni ya udereva siyo kimsingi siyo kodi 🏻🏻🏻
Niko makini sana na ninachokiandika!
Yeye kasema kalipa kodi , sasa nikuulize malipo ya leseni ni kodi?
 
Kwahiyo kama uko mtulivu kichwani baada ya kuona TRA na malalamiko ya leseni, basi kichwa chako kingejikita leseni zitolewazo na TRA na si leseni aina zote kama kwamba huwezi kuchuja mambo

Soma Kwa utulivu utaelewa, maana Hata leseni ya biashara haitolewi TRA
 
Hiyo ni kodi labda kama hujawahi kuwa na leseni hiyo huwezi jua malipo hayo ni nini, usibunibuni

Kusema documents ni general term, kwanini asingefufuka kabisa kutaja leseni ya udereva?
Wengi wamechukulia alikuwa anazungumzia Clearance Certificate !
Hata hivyo malipo ya leseni ya udereva siyo kimsingi siyo kodi 🏻🏻🏻
Niko makini sana na ninachokiandika!
Yeye kasema kalipa kodi , sasa nikuulize malipo ya leseni ni kodi?
,
 
Tunachotaka ni huduma bora kwenye aina zote za kodi. KULIPA NI WAJIBU KISHERIA NA KUPEWA DOCUMENTS HUSIKA NIWAJIBU KWA SHERIA HIYO HIYO
 
Hiyo ni kodi labda kama hujawahi kuwa na leseni hiyo huwezi jua malipo hayo ni nini, usibunibuni

,

Ni afadhali ungeniuliza kwamba kama siyo aina ya kodi badala Yake ni nini?
Hapo ningekwambia, lakini Kwa kuwa hauko tayari kujua basi baki kila Mtu abaki alivyo!
 
TRA Mwanza tunakuja kudai kudai kudai HAKI BAADA YA KUTIMIZA WAJIBU, IKULU IMESEMA NA TUMESIKIA KUWA NANYI NI SEHEMU YA TATIZO
 
Copy and paste :
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshwaji wa kutoa leseni za udereva na kusema jambo hilo limesababishwa na mabadiliko ya mfumo wa utoaji leseni ambao hivi sasa unaboreshwa ili leseni ziwe imara na kwamba kazi hiyo itakamilika kabla ya mwisho wa mwezi huu..."
Wanajibu materials hazipo. Toka mwaka jana! Hizo material zinatoka mbinguni?
 
Ni aibu na ujinga mtupu; we have people in office who only deserve to be gatekeeper at home
 
Mkuu miezi 5 sasa hakuna leseni kamili ni makaratasi tu ya kulipia, why? UNALIPIA LESENI HUPEWI LESENI duuuu hata leseni zimetushinda kutoa?
Hahaha nilikuwa natania tu, naelewa unachosema. Labda kuna tatizo la kiufundi kwenye ofisi ya mchapaji mkuu wa serikali, unajua documents zote serikali zinatengenezwa ofisi hiyo. Bila shaka mtapata suluhu.
Lakini kama receipt unayo usiwe na shaka.
 
UZURI GVT hii haitaki mambo ya kujieleza, hata sisi walipa kodi hatutaki maelezo yao tunalipa watupe chetu; WANADAI KAMA WANAJUA UTAKUFA KESHO sasa watimize wajibu wao MAANA NAO HATUNA IMANI KAMA WATAKUWEPO KESHO ahahhahahahahahaha

Hahaha nilikuwa natania tu, naelewa unachosema. Labda kuna tatizo la kiufundi kwenye ofisi ya mchapaji mkuu wa serikali, unajua documents zote serikali zinatengenezwa ofisi hiyo. Bila shaka mtapata suluhu.
Lakini kama receipt unayo usiwe na shaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom