Kamishina mkuu TRA tusaidie ofisi za TRA Mwanza ni shida tupu

UZURI GVT hii haitaki mambo ya kujieleza, hata sisi walipa kodi hatutaki maelezo yao tunalipa watupe chetu; WANADAI KAMA WANAJUA UTAKUFA KESHO sasa watimize wajibu wao MAANA NAO HATUNA IMANI KAMA WATAKUWEPO KESHO ahahhahahahahahaha
Hahaha mkuki kwa Nguruwe kwa mwanadamu mchungu.
 
Kweli kabisa dai kodi toa leseni, wanakaaje na leseni ambzo zamani ilikuwa siku 3-4 tu unapata iwe miezi 6? sasa mtu akisema dhaifu povu hilo
 
Kweli TRA ya Mwanza ni shida, wanashindwa kushugulia matatizo ya Walipa kodi ipasavyo kuna siku nilienda kulipa Kodi ya Majengo tangu asubuhi saa 3 mpaka saa 12. Nabaki najiulza nimekuja mwenyewe kwa usataarabu kulipa kodi namaliza muda wote huu kweli? Hadi natoka Ofisa w kwanza alikuwa ameshugulikia Walipa Kodi 15 , Wa pili alikuwa amehudumia 9 pekee na mwingine alikuwa anashughulikia masuala ya magari kidogo hakuwa na foleni kubwa yaani Maafisa wa TRA wanashughulikia Matatizo ya Magendo ( Mkono Mtupu haulambwi) wale walijipanga na waliokaa kwenye foleni wanaachwa, hii ni aibu kwa Taifa letu. Haki kwa mwendo ule wanahitaji kubadilika!
 
RC-Mwanza aona kama wako wanamsaidia JPM au wanamsababishia matatizo, kama kunashida ya ukweli si watoke kwenye vyombo vya habari vyote kusema nini shida na itaisha lini?

Kweli TRA ya Mwanza ni shida, wanashindwa kushugulia matatizo ya Walipa kodi ipasavyo kuna siku nilienda kulipa Kodi ya Majengo tangu asubuhi saa 3 mpaka saa 12. Nabaki najiulza nimekuja mwenyewe kwa usataarabu kulipa kodi namaliza muda wote huu kweli? Hadi natoka Ofisa w kwanza alikuwa ameshugulikia Walipa Kodi 15 , Wa pili alikuwa amehudumia 9 pekee na mwingine alikuwa anashughulikia masuala ya magari kidogo hakuwa na foleni kubwa yaani Maafisa wa TRA wanashughulikia Matatizo ya Magendo ( Mkono Mtupu haulambwi) wale walijipanga na waliokaa kwenye foleni wanaachwa, hii ni aibu kwa Taifa letu. Haki kwa mwendo ule wanahitaji kubadilika!
 
Tra mwanza kwakweli Ni shida Sana alafu pia ukikatiza maduka yote ya vifaa vya ujenzi kununua vifaa hawatoi risiti za kielektroniki/POS kwa kudai eti tra hawajawapa mashine mpaka muda huo, Mara mtandao mbovu Sasa hili suala nadhani lifanyiwe ufumbuzi mapema RC mwanza na kamati yake wajadili kea kina kwann risiti hazitolewi kwenye hardware's mjini mwanza wakati hawa ndg zetu wa parking, supermarket wao wanatoa risiti?
 
I am sorry lakn wakazi wa Mwanza wanatabia ya kutojali yaani nduhu tabu, mambo hayo ni madogo madogo kwao huku yana hitirafu kubwa sana, utasema mwanza hakuna mzunguko wa pesa kumbe pesa inazunguka kama kuku wa kienyeji maana hawajali sana utaratibu, sasa chukulia ukate leseni ikae zaidi ya miezi sita hakukna leseni original unafanya kazi na risit za kulipia benki, damn it. SERIKALI AMA SASA TUSEME JPM si anaangushwa mchana kweupe?

TRA wafanyakazi wamaweza kuwa na namna zao za kupiga pesa, kwa mambo kama haya, sasa kama leseni haikutoka umelipia au inaweza ikakutana na ya nyingine wakati ya zamani hujapewa hahhahahahhahahah
 
Kama ulikaalia kimya hata hii sijui ni kwanini umepelewa hata huo uRAS Njombe, Lakni nafurahi kuwa mwaka hujapita umetupisha kabisaaaaa
 
Kweli TRA ya Mwanza ni shida, wanashindwa kushugulia matatizo ya Walipa kodi ipasavyo kuna siku nilienda kulipa Kodi ya Majengo tangu asubuhi saa 3 mpaka saa 12. Nabaki najiulza nimekuja mwenyewe kwa usataarabu kulipa kodi namaliza muda wote huu kweli? Hadi natoka Ofisa w kwanza alikuwa ameshugulikia Walipa Kodi 15 , Wa pili alikuwa amehudumia 9 pekee na mwingine alikuwa anashughulikia masuala ya magari kidogo hakuwa na foleni kubwa yaani Maafisa wa TRA wanashughulikia Matatizo ya Magendo ( Mkono Mtupu haulambwi) wale walijipanga na waliokaa kwenye foleni wanaachwa, hii ni aibu kwa Taifa letu. Haki kwa mwendo ule wanahitaji kubadilika!

Hiyo picha hata pale TRA Kibaha imeshamiri sana hasa kwa wale officers wa chumba cha makadirio, wao kukupandishia kodi kwa makusudi hawaoni taabu na ukibisha eti anakupeleka kwa Supervisor wake ambaye akikugundua kuwa ni mwelewa analekebisha fasta na hakemei yule assesor mbovu kwani lao wote ni moja, ukweli TRA inatakiwa kuwe na mechanism fulani ambayo itakuwa ni check and balance ktk kodi zao na ambayo itazuia au itapunguza kidogo rushwa...sasa hivi vijana wetu wanapenda rushwa utafikiri kigoli katoka kuchezwa ngoma?
 
Na hawa wakuu ama supervisors wao ndio wanainjinia rushwa kwa syle hii umesema hapo juu, sasa uelewa ni lazima ili kuishi, survival for the fittest
 
Walipa kodi wanawajibu wa kulipa kodi tena kwa wakati, wajibu huu ni wa kisheria nadhani na maelezo ya kawaida kuyasikia kutoka kwa TRA/Kayombo elimu kwa walipa kodi.

Shida ni pale mlipakodi anapotimiza wajibu wake na kuambulia maelezo mengi kutoka watumishi wa TRA mwanza badala ya kupewa certificate yake au nyaraka yake kuwa kalipa kodi Fulani. Yaani tunaanza maelezo badala ya kupewa nyaraka husika ambayo umeilipia kodi kwa mujibu wa sharia. Kulipa kodi ni sharia na kupewa nyaraka ni takwa la kisheria. Mfano iweje nilipie kodi ya leseni harafu niambiwe kulaminate payslip ili niitumitue kama leseni yangu? shame and pathetic thinking of our TRA staff in Mwanza.

Yaani TRA mwanza wanataka kufikia malengo ya ukusanyaji kodi bila kutimiza wajibu? aibu na kweli. mtu alipie leseni harafu asipewe leseni kwa wakati ambao inafahamika ni walau ndani ya wiki? unaambiwa uatatumia pay in slip for miezi na miezi??? je mlipa kodi akiacha kulipa kodi asubiri mlete hizo leseni yaani huduma iwe kamili lipa upewa leseni je atakuwa na kosa? hivi ukinunua dai lisiti ama toa risiti kwa akili zenu ni kwa wafanyabiashara pekee? nyinyi haiwahusu? Kayombo tusaidie, maana suala la kudai risiti kama leseni baad ya kulipa limetungia kiasi kwamba tunaona wafanyakazi TRA Mwanza hawana uwezo wa kumudu majukumu yao na hivyo kutotoa leseni wa wakati, sisi mmetufundisha kudai, ttadai hadi kieleweke.

Kama unataka kufikia malengo ya kukusanya kodi toa huduma iliyokamilika kisheria sio ukusanye pesa leseni kupatikana ni maajaliwa ya muumba, why this? Uongozi TRA Mwanza wanatumia majibu mepesi kwa maswali magumu, quick fix zisizoenda shule, majawabu yasiyo na akili kabisa. kama leseni huna sio uwaambie wateja wakalaminate mikaratasi kwa gharama zao, wakati wewe ndio unapaswa kutoa leseni.

Kamishina Mkuu TRA iwapo Mwanza Officehawana uwezo wa kutoa leseni tuambieni/toa tangazo twenda Musoma, Shinyanga, Geita au sehemu ambayo ukilipia leseni unapata leseni ndani ya siku 3 hadi 7. Mengine ni hakika mnakiuka sharia na inabidi Kayombo atoe soma kwa ofisi za TRA kabla ya kuja kwa walipa kodi.

KILA MTU ATIMIZE WAJIBU WAKE, MLIPA KODI NA TRA PIA ili MAMBO YAENDE. Lakni kudhani mtaendesha mambo kijanja kijinga namna ile hapana. Nililpe kodi nipewe leseni, HAPA KAZI TU.

ASANTENI
Kamishna hawezi kufika Kila sehemu, hawezi kuona Kila kitu na hawezi kujua vyote. Cha msingi ni kuimarisha mfumo
 
Leseni TRA?
Leseni mbona zinatolewa ofisi Za Halmashauri ya Wilaya, miji na Manispaa?
Mkuu hata mimi katika hili napingana na mtoa maada, Tax Clearance kama umelipia kodi zote unapewa within 1hr, binafsi mara nyingi nmekuwa nikiomba na kupewa ndan ya siku moja. Fikiria zabuni nyingi zimekuwa zikihitaji tuwe na taxi clearance, na tumekuwa tukipewa bila tatizo. Mfano kama contractor unalipa PAYEE, SDL, na quarterly assessment fees unapewa bila shida
 
Back
Top Bottom