Kamisheni ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inafanya nini wananchi wanapouawa mikononi mwa Polisi?

Wewe ulitaka wachukuwe maelekezo kutoka chini? halafu matokeo jana, leo unataka tume ikupe ripoti? hivi huwa mnafikiri kabla ya kuandika?

Punguza munkari basi hata kama wewe ni mtu wa Tume.Pokea mrejesho chanya kisha elimisha kwa ustaarabu.
 
Back
Top Bottom