KaMERA YANGU LEO NA USAFIRI WETU

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
20.jpg
 
Nawaambia pungueni Dar, njoni mkoa huku hamuelewi!
Ebu tumia jicho la 3 kutazama ndani ya 5 yrs to come itakuwaje!
 
Duk kuishi Mbagala kwa kweli inahitaji ujasiri!!

bro mi nshazoea ......kuna kipindi walipokuwa wanajenga barabara ya kilwa pale mtoni mtongani ulikuwa unavua kwanza viatu ndio upite kwenye mimaji michafu mimaji ya ****** ///dont joke
 
Hii kero sijui kama itaisha nawaonea huruma kwa wale wanaishi Dar sasa na Joto la kutoka kariakoo kwenda kimara,Mbezi na sehemu nyingine.
 
bongo nyu yoki bana......kuna fast food joints siku hizi....steers....best bite (hii ya longi kidogo).....kuna shoprite, game, woolworths....lol
 
hayo ndio maisha bora kwa kila mbongo yenye kasi zaidi,hari zaidi na nguvu zaidi! maana bila nguvu daldala kwako ni ndoto za abunuasi na hadithi za buricheka!!
 
Kuna wakati mramba pindi yu waziri wa fedha aligusiwa juu ya adha ya usafiri dar alijibu vipi vile? Ngoja nim quote...."watu wanunue magari yao".......tehehhee aliye shiba bana...
 
ndiyo raha ya public transport tanzania, halafu kunawatu wanasema wenye magari wayaache majumbani watumie usafiri huu kupunguza foleni, itawezekana ?
 
bro mi nshazoea ......kuna kipindi walipokuwa wanajenga barabara ya kilwa pale mtoni mtongani ulikuwa unavua kwanza viatu ndio upite kwenye mimaji michafu mimaji ya ****** ///dont joke

kweli safari bado ni ndefu!mmh
 
Hivi hilo ni tatizo la uhaba wa magari au barabara au uvivu wa viongozi wa kufikiri?
 
Duk kuishi Mbagala kwa kweli inahitaji ujasiri!!

Sio Mbagala tu, hebu pita pale posta mpya uone gari za Masaki zinavyogombewa (muda wowote), ilhali Masaki ndiko ambako tunaamini kwamba wanaoishi pale wana uwezo wa kila mtu kuwa na gari.

Kimsingi kuishi Dar ni matatizo makubwa sana. Huduma za usafiri na miundombinu haziendani kabisa na wingi na ongezeko la watu. Tusiporekebisha hali hii, nadhani miaka mitano ijayo itakuwa tabu sana kufika katikati ya jiji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom