Kamera (CCTV Camera) ndani vyumba vya kujaribishia nguo ktk duka la Mr. Price, ni sahihi?

Haha, kumbe wewe ndo uliopiga picha, ujue tangu ulipotoka tulikuwa tunakudiskasi labda ni polisi,
kumbe umekuja kuileta humu? Nishakujua mzee, na hatasasaivi video yako naweza kuiweka humu
 
Kweli kabisa dada, na huwa wanatoa vijidude vyenye namba, kama umeingia na nguo mbili anakupa chenye namba mbili, na nk.
Na handbags huwa tunaacha kweny shelf nje pale,naona wana woga nguo zinafichwa kwny chu.pi sijui..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom