Kambi ya Urusi watashindwa vita ya majini

Russia wanategemea zaidi Intercontinental strategic weapon na ina- maintain kuwa mbele katika eneo hili na wanajua hilo kabisa.
Tofauti na Marekani ambao wanategemea zaidi kukuletea vita mlangoni kwako (Yaani Aircraft carriers). Russia kwake aircraft carriers ni unnecessary costs na pia anaweza kuziua hizo carriers in a matter of a minute from far away. Kuna kitu kimekuja kinaitwa glider weapon.Rusia peke yake ndo amefikia hiyo tech na inampatia uwezo wa kupita katika any known defence system now and any one to be developed in a range of 100 hundred years to come.

At low -profile -battle anategemea zaid tactical defense system kama S-400 and S 500 hundred. Kwa hiyo in low -profile- battle unaweza kumshinda lakini hutamzuia kufanya maangamizi kwako. Hiyo glider imetengenezwa kufikia any target any where in the world and in the near orbit at max within a matter of few minutes ambazo huwezi kufanya critical decision kabla ya kukufikia. Pili inaweza kufanya jamming za hatari na pia haina predictable path. Target inaweza kuwa Europe yenyewe ikaanza kwenda kuzungukia South pole, wakati wao wanazidi kurundika defense system Eastern Europe. Pia Russia wana hicho kinachoitwa invisible hand system ambayo inawahakikishia revenge hata kama decision makers wote wakifa kwa pamoja.

So the only way ni kumharibia uchumi na kisiasa. Vita anaweza kupoteza at short term but linapokuja suala la strategic arsenal ku-deal na high level of attacks yuko very far ahead. Huwezi kutegemea Ndege kama F35 kupigana strategic battle.
 
Bahari naiona kama eneo crucial sana kama vita kubwa inatokea, sasa mkuu kwa jinsi walivyo na zana chache(Destroyer 12 versus 70+ za US hapo bado sijawainclude France, UK, Germany ambao nao wana fleet za nguvu) itakuaje au?

Vita ya Nukes sitegemei kutokea duniani maana binadamu tutakulana nyama, what then will be the scenario in a conventional fight with such disparity ?
 
Hakuna taifa lenye nuclear duniani ambalo litakubali kuvamiwa kivita lisiitumie kabisa mpaka ligime inaanguka na nuclear ipo ndani. Hata msingi wakuanzishwa UN ulikuwa kuondoa uwezekano wa Superpower kuvamiana. Vita haina kanuni hasa kwa anaeizidiwa hatakubali kuangamia anajiona na ndo kitu nchi za Magharibi wanajitahidi kufanya ( Yaani kuiaminisha Russia kwamba wao wakipigwa hawataitumia Nuclear jambo ambalo ni uongo)

Halafu ni kwamba inapokuja kwenye suala la kufanya maximum destruction, number does not matter. Hata wangeungana dunia nzima against any one country with Nuke capability. Amini ngoma itakuwa total destructive pande zote mbili
 
Siku mwarobaini wa kudhibiti silaha za nuclear ukipatikana kesho yake vita ya dunia itarudi na UN itavunjika same day.
 
Hakuna taifa lenye nuclear duniani ambalo litakubali kuvamiwa kivita lisiitumie kabisa mpaka ligime inaanguka na nuclear ipo ndani. Hata msingi wakuanzishwa UN ulikuwa kuondoa uwezekano wa Superpower kuvamiana. Vita haina kanuni hasa kwa anaeizidiwa hatakubali kuangamia anajiona na ndo kitu nchi za Magharibi wanajitahidi kufanya ( Yaani kuiaminisha Russia kwamba wao wakipigwa hawataitumia Nuclear jambo ambalo ni uongo)

Halafu ni kwamba inapokuja kwenye suala la kufanya maximum destruction, number does not matter. Hata wangeungana dunia nzima against any one country with Nuke capability. Amini ngoma itakuwa total destructive pande zote mbili

Ni vipi upande mmoja utaaddress aggression ya mwenzake mfano Russia anavyohujumiwa marafiki zake
 
Back
Top Bottom