Kambi ya Urusi watashindwa vita ya majini

Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
6,411
7,306
Kambi inayoongoozwa na Urusi wana Hali mbaya sana katika zana na Silaha za majini(Naval Weaponry)

Mpaka mwakani US atakuwa na Manowari za Destroyers zaidi ya 70 sasa Russia ana hali mbaya sana maana yeye ana Destroyers 12 tu na expansion ya Navy ya Urusi inaonekana bajeti sio nzuri in order to compete effectively

Sasa tukija kuchambua kambi ya Mmarekani kule ukiacha Mmarekani kuna nchi zina nguvu sana katika Navy hasa Uingereza, na Ufaransa huku Russia yeye ana mshirika mmoja tu ambae ni China
 
Uchumi wa Urusi pamoja na Jiografia (Geography) yake inaifanya Urusi isitegemee Navy System yake kwa 100%. Urusi imepakana na Mataifa si chini ya 16 huku sehemu ya maji ni upande wa Mashariki ya mbali ikipakana na Japan na Alaska kwa mbali. Hilo linamfanya Urusi ku-Rely zaidi katika Ground Forces na Air-Force ingawa asilimia kubwa ya mifumo yake ya kiulinzi na kijeshi ni ya ardhini kutokana na kupakana na Mataifa mengi zaidi kuliko nchi nyingine yeyote ile Duniani.

Mfano wa mifumo yake ya kiulinzi; Nuclear Defence Systems zake mostly ni Ground Operated tofauti na Marekani, UK au France. Hapa kwenye Nuclear Defence Systems nasemea Ballistic Missiles (ICBMs) ambazo zinarushwa kutokea ardhini. Pia anahakikisha ana SAM (Surface to Air Missile) Systems za kutosha kuilinda ardhi yake na mostly hizi Systems (ICBMs, SAM Systems n.k.) zinahamishika kirahisi (High Mobility) mfano, S-400s n.k. Hizi zote ni Cheaper kuliko ku-Operate Aircraft Carriers (Naval Aviation), Submarines, Warships, Destroyers n.k. kwa wakati mmoja.
 
Anaweza asikuelewe huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambi inayoongoozwa na Urusi wana Hali mbaya sana katika zana na Silaha za majini(Naval Weaponry)

Mpaka mwakani US atakuwa na Manowari za Destroyers zaidi ya 70 sasa Russia ana hali mbaya sana maana yeye ana Destroyers 12 tu na expansion ya Navy ya Urusi inaonekana bajeti sio nzuri in order to compete effectively

Sasa tukija kuchambua kambi ya Mmarekani kule ukiacha Mmarekani kuna nchi zina nguvu sana katika Navy hasa Uingereza, na Ufaransa huku Russia yeye ana mshirika mmoja tu ambae ni China
Ah ah ah..
Hii iahu umekuzidi uzito mkuu..iache
 
Uchumi wa Urusi pamoja na Jiografia (Geography) yake inaifanya Urusi isitegemee Navy System yake kwa 100%. Urusi imepakana na Mataifa si chini ya 16 huku sehemu ya maji ni upande wa Mashariki ya mbali ikipakana na Japan na Alaska kwa mbali. Hilo linamfanya Urusi ku-Rely zaidi katika Ground Forces na Air-Force ingawa asilimia kubwa ya mifumo yake ya kiulinzi na kijeshi ni ya ardhini kutokana na kupakana na Mataifa mengi zaidi kuliko nchi nyingine yeyote ile Duniani.

Mfano wa mifumo yake ya kiulinzi; Nuclear Defence Systems zake mostly ni Ground Operated tofauti na Marekani, UK au France. Hapa kwenye Nuclear Defence Systems nasemea Ballistic Missiles (ICBMs) ambazo zinarushwa kutokea ardhini. Pia anahakikisha ana SAM (Surface to Air Missile) Systems za kutosha kuilinda ardhi yake na mostly hizi Systems (ICBMs, SAM Systems n.k.) zinahamishika kirahisi (High Mobility) mfano, S-400s n.k. Hizi zote ni Cheaper kuliko ku-Operate Aircraft Carriers (Naval Aviation), Submarines, Warships, Destroyers n.k. kwa wakati mmoja.

Mkuu mambo yanabadilika sana, The Northern Sea Route ikianza kutumika kama ambavyo Raisi Putin anapanga kule ukanda wa bahari ya Arctic lazima kutaongezeka shughuli nyingi za kijeshi na kiuchumi.

Mwaka huu baada ya Marekani kusikia kwamba Urusi anapanga kurudi ule ukanda wa Arctic yeye na mwenzake Uingereza walipeleka nyambizi zao kufanya vurugu na wakasema wataendelea kuwepo huko.

Nakubaliana na wewe kwamba Strategic Weapons are a best deterrence to keep the eagles at bay, lakini vipi kama atalazimika kwenda kupigana kule Pasifiki ambako ni mbali na nyumbani au afanye operesheni ambazo hazihitaji matumizi ya silaha nzito ???

FF13DC9C-A2BD-4B5D-A9DD-014248237962.jpeg
 
Kambi inayoongoozwa na Urusi wana Hali mbaya sana katika zana na Silaha za majini(Naval Weaponry)

Mpaka mwakani US atakuwa na Manowari za Destroyers zaidi ya 70 sasa Russia ana hali mbaya sana maana yeye ana Destroyers 12 tu na expansion ya Navy ya Urusi inaonekana bajeti sio nzuri in order to compete effectively

Sasa tukija kuchambua kambi ya Mmarekani kule ukiacha Mmarekani kuna nchi zina nguvu sana katika Navy hasa Uingereza, na Ufaransa huku Russia yeye ana mshirika mmoja tu ambae ni China
Kwa hiyo ili iwe destroyer kuna standard specifications?
Kama moja inafanya kazi ya 1000 kuna haja gani ya kusumbua samaki?
 
Mkuu nazani umeandika kiushabiki sana.

Kwanza lazima ujue kwamba kuna Aina nyingi sana za Meli za Kivita.

1.Destroyer

1. battle cruiser
2. Frigate
3.Convetor war ship

Na kuna Amphibia landing ship na kazalika.

Sasa unaweza kuta Frigate ikafanya kazi za Destroyer au zaidi.

Na pia ishu sio kuwa na wingi bali zina uwezo gani?

URUSI SASA.
Urusi anawekeza zaidi kwenye nyambizi kulilo Meli.

Na kumbuka Nyambizi ndo NO 1 kwa siraha zinazo ogopwa yaani ukiacha Meli ukaacha Ndege na ukaacha Makombola NYAMBIZI ndo number 1 kwa siraha zaza za kivita za kuogopwa

Nyambizi inaweza toka Urusi ikaenda kupiga tukioa pale Cuba na kurudi Urusi kitu ambacho kwa meli au ndege ni kigumu mno.

Pia kumbuka Meli za kivita ndo siraha za gharama mno na pia ndo siraha ni vulnerable mno.

MELI kuzama sio kitu cha kushangaza. Kumbuka nyambizi inauwezo wa Kupindua Meli na ikazama na kila kitu.

NDO maana msafara wa hizo Destroyer huwa kuna escort ship za kitosha hadi Nyambizi.

Nyambizi ndo adui namba 1 wa Meli za kivita.

URUSI kawekeza sana kwenye nyambizi na ndo ana Nyambizi za kugopwa na za hatari tupu.

NYAMBIZI ni gharama nafuu kuliko Meli na pia ni ya hatari kuliko meli za kivita.

MWISHO
Urusi pia anawekeza sana kwenye Defensive mno ingawa hata ofensive.

Meli zote za USA ziko vulnerable kwa siraha za Urusi.
 
Kumbee! Haya br
 
Uchumi wa Urusi pamoja na Jiografia (Geography) yake inaifanya Urusi isitegemee Navy System yake kwa 100%. Urusi imepakana na Mataifa si chini ya 16 huku sehemu ya maji ni upande wa Mashariki ya mbali ikipakana na Japan na Alaska kwa mbali. Hilo linamfanya Urusi ku-Rely zaidi katika Ground Forces na Air-Force ingawa asilimia kubwa ya mifumo yake ya kiulinzi na kijeshi ni ya ardhini kutokana na kupakana na Mataifa mengi zaidi kuliko nchi nyingine yeyote ile Duniani.

Mfano wa mifumo yake ya kiulinzi; Nuclear Defence Systems zake mostly ni Ground Operated tofauti na Marekani, UK au France. Hapa kwenye Nuclear Defence Systems nasemea Ballistic Missiles (ICBMs) ambazo zinarushwa kutokea ardhini. Pia anahakikisha ana SAM (Surface to Air Missile) Systems za kutosha kuilinda ardhi yake na mostly hizi Systems (ICBMs, SAM Systems n.k.) zinahamishika kirahisi (High Mobility) mfano, S-400s n.k. Hizi zote ni Cheaper kuliko ku-Operate Aircraft Carriers (Naval Aviation), Submarines, Warships, Destroyers n.k. kwa wakati mmoja.

Mkuu Vita ya Mmarekani na Mrusi sio lazima ipiganiwe maeneo ya Ulaya au America tu. Kama ulifuatilia WW2 basi utakumbuka Mmarekani na Mjapani walipigania maeneo yepi
 
Hahaha huyo pro America anaweza kujinyea baada ya kuisoma hii comment
Uchumi wa Urusi pamoja na Jiografia (Geography) yake inaifanya Urusi isitegemee Navy System yake kwa 100%. Urusi imepakana na Mataifa si chini ya 16 huku sehemu ya maji ni upande wa Mashariki ya mbali ikipakana na Japan na Alaska kwa mbali. Hilo linamfanya Urusi ku-Rely zaidi katika Ground Forces na Air-Force ingawa asilimia kubwa ya mifumo yake ya kiulinzi na kijeshi ni ya ardhini kutokana na kupakana na Mataifa mengi zaidi kuliko nchi nyingine yeyote ile Duniani.

Mfano wa mifumo yake ya kiulinzi; Nuclear Defence Systems zake mostly ni Ground Operated tofauti na Marekani, UK au France. Hapa kwenye Nuclear Defence Systems nasemea Ballistic Missiles (ICBMs) ambazo zinarushwa kutokea ardhini. Pia anahakikisha ana SAM (Surface to Air Missile) Systems za kutosha kuilinda ardhi yake na mostly hizi Systems (ICBMs, SAM Systems n.k.) zinahamishika kirahisi (High Mobility) mfano, S-400s n.k. Hizi zote ni Cheaper kuliko ku-Operate Aircraft Carriers (Naval Aviation), Submarines, Warships, Destroyers n.k. kwa wakati mmoja.
 
Mkuu nazani umeandika kiushabiki sana.

Kwanza lazima ujue kwamba kuna Aina nyingi sana za Meli za Kivita.

1.Destroyer

1. battle cruiser
2. Frigate
3.Convetor war ship

Na kuna Amphibia landing ship na kazalika.

Sasa unaweza kuta Frigate ikafanya kazi za Destroyer au zaidi.

Na pia ishu sio kuwa na wingi bali zina uwezo gani?

URUSI SASA.
Urusi anawekeza zaidi kwenye nyambizi kulilo Meli.

Na kumbuka Nyambizi ndo NO 1 kwa siraha zinazo ogopwa yaani ukiacha Meli ukaacha Ndege na ukaacha Makombola NYAMBIZI ndo number 1 kwa siraha zaza za kivita za kuogopwa

Nyambizi inaweza toka Urusi ikaenda kupiga tukioa pale Cuba na kurudi Urusi kitu ambacho kwa meli au ndege ni kigumu mno.

Pia kumbuka Meli za kivita ndo siraha za gharama mno na pia ndo siraha ni vulnerable mno.

MELI kuzama sio kitu cha kushangaza. Kumbuka nyambizi inauwezo wa Kupindua Meli na ikazama na kila kitu.

NDO maana msafara wa hizo Destroyer huwa kuna escort ship za kitosha hadi Nyambizi.

Nyambizi ndo adui namba 1 wa Meli za kivita.

URUSI kawekeza sana kwenye nyambizi na ndo ana Nyambizi za kugopwa na za hatari tupu.

NYAMBIZI ni gharama nafuu kuliko Meli na pia ni ya hatari kuliko meli za kivita.

MWISHO
Urusi pia anawekeza sana kwenye Defensive mno ingawa hata ofensive.

Meli zote za USA ziko vulnerable kwa siraha za Urusi.

Mkuu nyambizi zinaonekana kupitia Acoustic na Sonar , kwa hiyo ni kama bado
 
Kambi inayoongoozwa na Urusi wana Hali mbaya sana katika zana na Silaha za majini(Naval Weaponry)

Mpaka mwakani US atakuwa na Manowari za Destroyers zaidi ya 70 sasa Russia ana hali mbaya sana maana yeye ana Destroyers 12 tu na expansion ya Navy ya Urusi inaonekana bajeti sio nzuri in order to compete effectively

Sasa tukija kuchambua kambi ya Mmarekani kule ukiacha Mmarekani kuna nchi zina nguvu sana katika Navy hasa Uingereza, na Ufaransa huku Russia yeye ana mshirika mmoja tu ambae ni China
hizo kambi ni za wasabato au kambi za wakimbizi?
 
Back
Top Bottom