Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Kambi inayoongoozwa na Urusi wana Hali mbaya sana katika zana na Silaha za majini(Naval Weaponry)
Mpaka mwakani US atakuwa na Manowari za Destroyers zaidi ya 70 sasa Russia ana hali mbaya sana maana yeye ana Destroyers 12 tu na expansion ya Navy ya Urusi inaonekana bajeti sio nzuri in order to compete effectively
Sasa tukija kuchambua kambi ya Mmarekani kule ukiacha Mmarekani kuna nchi zina nguvu sana katika Navy hasa Uingereza, na Ufaransa huku Russia yeye ana mshirika mmoja tu ambae ni China