Bajeti ya majenereta kulipa leseni ya kutumia barabara?Upuuzi mtupu. Bajeti ya nchi keshasoma Dk mpango . Ninachojua jumatatu ni mhe rais anapokea ripoti ya pili saa tatu asubuhi. over
Ikulu inayonajisiwa kila iitwapo leo??Yaani niache kusikiliza tafiti za kutoka ikulu nikae nasikiliza porojo zenu!..Mwambie Kubenea hizo porojo aziweke kwenye MwanaHalisi, Mawio na Habari Leo tutaziona tuu
Kilichosomwa na Dk. Mpango ni "Bajeti Pendekezwa" Bunge ndilo hupitisha Bajeti, kwahiyo tunapaswa kuisikiliza kwa makini "Bajeti Pendekezwa" ya upande wa Upinzani ili kuona kama kuna mambo yanaweza kuiboresha hiyo ya Dk Mpango, ila ni iwapo tunajitambua!Upuuzi mtupu. Bajeti ya nchi keshasoma Dk mpango . Ninachojua jumatatu ni mhe rais anapokea ripoti ya pili saa tatu asubuhi. over
Vipi ya mwaka Jana imetumikisha wapi maana nayo ilikuwa Bajeti ya karneSiku tatu mnapiga tuition baada ya Dr Mpango kuwapiga butwaa na bajeti yenye mashiko. Ngoja tusubiri bajeti ya kutetea mafisadi na waiba mchanga wa madini.
Ndio maana mebaki na MaigizoBajeti ni ya upinzani inatekelezwa nchi Gani?!! Ni upuuzi mtupu
kwanini na nyie mnafanya maigizo mnaogopa nini kufunikwa?Kama upinzani unajiamini una bajeti mbadala, nzuri na inayotekelezeka, Mwanahabari Huru wasiwasi wa nini? Upinzani una ushawishi mkubwa kwenye vyombo vya habari, hivyo hiyo bajeti itafuatiliwa tu, au!!!
hata hiyo asilimia umewapa kubwa sanaCCM ya ajabu bajeti inatekelezwa Kwa asulimia 34%?
Suala la maigizo ni hisia zako kuhalalisha woga wenu wa bajeti isiyo na mashiko kwa kuwa hamjiamini.kwanini na nyie mnafanya maigizo mnaogopa nini kufunikwa?
Kama haina mashiko kwanini mnafanya maigizo jibu swali tulieni tuwafundishe kazi siyo maigizo kwenye mambo ya msingiSuala la maigizo ni hisia zako kuhalalisha woga wenu wa bajeti isiyo na mashiko kwa kuwa hamjiamini.
Unajua vigezo vya wazi vya mtu asiyejiamini, mojawapo ni kushutumu watu wengine, na mara nyingi kwa hisia tu. Kila baya analolifanya au kutokufanikiwa, atadai kuna mkono wa mtu. Wakati mwingine anasingizia uchawi.
Mkuu Nemesis,upinzani mara nyingi huwa wanacheza muziki wa maCCM tena kwa tone ya maCCM. Uahauri wako ni wa maana sana kama ukitekelezwa. Wao wajikite kwenye issues zinazomgusa mwananchi wa kawaida na si makelele yasio na mashiko. Upinzani wakiacha "retaliations" za mapovu dhidi ya maCCM,wakaja na hoja za msingi,wananchi watawaelewa,na serikali ya maCCm pia itayafanyia kazi japokuwa huwa ni kwa mlango wa nyuma na kimyakimya ili upinzani usipate credits.Naamini mtasikilizwa, ilimradi muache mbwebweni zisizo na msingi. Si Mara moja, Bali Mara kadhaa nimeona Serikali ya CCM ikitekeleza maoni ya upinzani yanayoonekana yanafaa na yanamanufaa kwa Taifa.
Hivyo acheni inferiority complex, simameni kiume muwasilishe bajeti yenu mbadala.
Kwa hiyo tunaiga USA sio?Kwamba Lowasa azunguke nchi nzima kufanya mafuriko ya shukrani? Mbona Hillary Clinton hajafanya hivyo.
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa kama unvyotaka iwe, nikunukuu (maandishi mekundu). Mimi ni Raia mwema ambaye huvutwa na kuunga mkono vitendo vyenye kuleta mafanikio. Na iko mifano mingi ya utekelezaji wa maneno kwa vitendo wa Serikali iliyoko madarakani - sina haja ya kuorodhesha.Kama haina mashiko kwanini mnafanya maigizo jibu swali tulieni tuwafundishe kazi siyo maigizo kwenye mambo ya msingi
Yeap! Kwa mujibu wa M. NchembaKwa hiyo tunaiga USA sio?