Kambi ya Upinzani Bungeni kusoma bajeti Jumatatu, CCM waja na mkakati wao wa mchanga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,259
2,000
Wakuu..Jumatatu ni siku ya Bajeti mbadala ya Wizara ya fedha hivyo tunapaswa kujiandaa kuisambaza Bajeti hiyo na kuleta utofauti na Ile ya kwao ya mbwembwe nyingi ambayo kiuhalisia haina utekelezaji.

Kutokana na kujua ya kwamba Bajeti yetu mbadala itawavua nguo wameamua kuja na mkakati wao Mwingine ili kutuhamisha kwenye Bajeti Mbadala yenye kuzingatia uhalisia wa Wananchi wengi.

Tunapaswa kujua tusiruhusu mjadala watakao uanzisha ili kutaka kunyamazisha Bajeti yetu Mbadala ya Wizara ya fedha.... Tunapaswa kuitumia siku ya jumatatu kwaajili ya Bajeti yetu mbadala na siyo propaganda nyingine kama ambavyo bango lao linapita likitaka kuwachota watu macho na masikio yasihamie kwao bali yabaki kwenye Bajeti yetu mbadala ya kuwasaidia Wananchi.

Tumewaacha muda mrefu na propaganda zao,zimewapati sifa ambazo hawasitahili kuzipata hata kidogo.

Kwasasa tunapaswa kuwaonyesha kuwa tuliamua kuwapuuza na kwakuwa wanaendelea kudanganya basi wakiweka mkono tunaweka mguu yaani Bampa 2 Bampa mpaka kieleweke.

Tunapaswa kujua ya kwamba tumaini pekee kwa sasa kwa Wananchi ni sisi pekee... Tusiwaangushe Wananchi wetu.....
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,456

Mawazo ya Mbowe ziro form 6 ndio kakwambia uje uandike huu utumbo hapa??? Zoezi la Uchunguzi wa Mchanga liko chini ya Rais. Tangu lini Ratiba za Rais zikapangwa kulingana na shuguli za Bunge??? HERI MTU YULE ATAKAYE KUPUUZA
 
Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,259
2,000
Mawazo ya Mbowe ziro form 6 ndio kakwambia uje uandike huu utumbo hapa??? Zoezi la Uchunguzi wa Mchanga liko chini ya Rais. Tangu lini Ratiba za Rais zikapangwa kulingana na shuguli za Bunge??? HERI MTU YULE ATAKAYE KUPUUZA
unaona hapo wakupuzwa ni nani sasa?
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,378
2,000
Kawa nawaona wakisoma huku wakihema sana na kwa mbwembwe na bashasha nyingi na sauti yenye piki ya juu sana
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,307
2,000
mtapoteza nguvu zenu tu bure budget ya nchi teyari, tunamtaka acacia tu kwa sasa ili atupe pesa tutekeleze budget. tukitoka hapo tunaenda iptl
 
Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
4,999
2,000
Naamini mtasikilizwa, ilimradi muache mbwebweni zisizo na msingi. Si Mara moja, Bali Mara kadhaa nimeona Serikali ya CCM ikitekeleza maoni ya upinzani yanayoonekana yanafaa na yanamanufaa kwa Taifa.

Hivyo acheni inferiority complex, simameni kiume muwasilishe bajeti yenu mbadala.
 
kilichowatisha mkakataza kilichoko kwenye katiba nini nini? mikutano ya siasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom