unajuaje kuwa anayoongea ni kutokana na maono kutoka kwa Mungu,acha ukondoo na tumia reasoning.viongozi wangapi wa dini wamesaliti wito wao na kufuata maslahi binafsi na kutumiwa kisiasa?Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.
...alikunywa mvinyo kabla ya kupanda kwenye mimbari. Angeficha mahaba yake kwanza. Amekurupuka kama kurugenzi flani hivi.
maaskofu wana elimu gani hivi?
Taitizo la JF ni ushabiki Askofu Laizer ametoka maoni yake.sasa na ni nyi mayo maoni yenu. Sasa matusi ni ya nini? Hivi ni lazima kila mtu afikri Kama ni nyi? Kama huu si udikteta ni kits gani?
askofu huyu naye keshapewa fungu lake