Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.

Hawezi kueshimiwa kiongozi kwa misingi ya kuwa kiongozi wa dini bali hueshimiwa kwa busara zake.
 
Msipotoa sadaka hamtaiona mbingu tena msithubutu maana sadaka ni kwa faida yenu wenyewe
.
Nani kakwambia wewe. Kama analeta siasa za maji taka kny madhabahu unadhani atavumiliwa? Ya kaisari mpe kaisari, na ya Mungu mpe Mungu. Over!
 
hotuba ya Askofu inaonyesha kujikanganya mwenyewe hapo aliposema ni haki Lema kupewa ile hukumu huku akisema serikali na dola yake imekuwa ikiwanyanganya watu wake haki alipofananishi Bwana Yesu kupigwa makofi. Hii ni kauli na tabia ya mtu mwenye kula chakuna na mikono yote miwili, tena bila hata kunawa. Rushwa aliyoimwaga EL makanisani imewapofusha kabisa baadhi ya viongozi na sasa hawasikii hawaambiliki na wata hawajijui.
Uchaguzi uitishwe Arusha halafu raia tutamwonyesha Laizer jinsi maamuzi ya wengi yanavyopaswa kuheshimiwa na haki ya wachache hasa pale inapodhulumu haki ya wengi isivyopaswa kupewa kipaumbele.
.
Hebu soma upya hiyo habari, naona kama hujaielewa vile.
 
Soma vizuri post hujaelewa katika ile main post kuna viongozo wa dini zaidi ya mmoja wametoa hotuba.
 
Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.

hapo askofu amechemka, hata biblia inatutaka tusichanganye Injili na siasa.
 
Taitizo la JF ni ushabiki Askofu Laizer ametoka maoni yake.sasa na ni nyi mayo maoni yenu. Sasa matusi ni ya nini? Hivi ni lazima kila mtu afikri Kama ni nyi? Kama huu si udikteta ni kits gani?
 
hotuba ya Askofu inaonyesha kujikanganya mwenyewe hapo aliposema ni haki Lema kupewa ile hukumu huku akisema serikali na dola yake imekuwa ikiwanyanganya watu wake haki alipofananishi Bwana Yesu kupigwa makofi. Hii ni kauli na tabia ya mtu mwenye kula chakuna na mikono yote miwili, tena bila hata kunawa. Rushwa aliyoimwaga EL makanisani imewapofusha kabisa baadhi ya viongozi na sasa hawasikii hawaambiliki na wata hawajijui.
Uchaguzi uitishwe Arusha halafu raia tutamwonyesha Laizer jinsi maamuzi ya wengi yanavyopaswa kuheshimiwa na haki ya wachache hasa pale inapodhulumu haki ya wengi isivyopaswa kupewa kipaumbele.
.

Soma habari uielewe, kama ujaelewa rudia hata mara mia, bila shaka utakuwa umepata tofauti ya aliesema ni haki lema kupewa adhabu na alietoa mfano wa bwana yesu kupigwa makofi
 
ile kurugenzi imeshapoteza hadhi yake

Kurugenzi ipi mkuu au una maanisha ile ya Jk ambayo kumbe nayo inaongozwa na watu kama Livingstone Lusinde. Sikuamini nilipoona Ikulu inatukana watZ kwa kuwaita wapuuzi, hawana adabu. Jazba zinatoka wapi na ilikuwa na haraka gani kujibu kama hawakuwa wanajua matokeo ya hukumu na kuandaa majibu mapema?
 
Anabahati anajiita mchunga kondoo wa mungu watu wakaamua kumstahi, vinginevyo alikuwa apigwe mawe, lakini hizi ni salamu kwa EL na magamba wote
 
mini ni miongoni mwa waumini wa kilutheri hivyo basi Laiser ni askofu wangu...lakini kwa hili amepotoka....angekaa kimya tu...anajidanganya kuulazimisha UMA huu kuukubali uozo unaondelea....

jamani watu wasome alama za nyakati baba askofu unapingwa waziwazi na waumin wako bado unakaza kulazimisha punda kunywa maji....ni aibu hii

leo nape kwenye page kapost kitu kweye page yake ya facebook.....amini usiami hadi nasoma comments kwa mara ya mwisho ziilikuwa 97 na zote zinamshambulia waziwazi....kumbuka miongoni mwao ni marafiki zake lakini wamemshambulia vilivyo kwa sababu ya CHEAP POPULARITY anayo taka nape

viongozi wa dini,mahakama somen alama za nyakati
 
Huyu ni askofu wangu lakini ninachojua hivi karibuni ameanza kumfagilia Batilda hata ibadani. Ndugu zangu eleweni huyu ni kipenzi cha lowassa na amesha washawishi Maaskofu na wachungaji wa KKKT waamini kwamba Lowassa anaandamwa kwa sababu za kidini kati yake na JK eti wanataka kumleta mtu wao. Pia eti hakuwa na kosa alijiuzulu kumwokoa rais na hivyo alitolewa kafara na JK kwa hiyo ni mtu safi.

Ninawashauri viongozi wangu wa dini kabla ya ku comment wahakikishe hawaongei kimwili bali kwa kuongozwa na Roho la sivyo ushabiki utawafanya waumini wawakimbie au waanze kuzomea makanisani. Laizer anavyokuja imekaa vibaya kwani katu hakuna mwuumini wake atakayekubaliana naye ni vema awe neutral ili hata baada ya uchaguzii Ar mjini abaki na heshima yake. Ajaribu kucheza karata vyema ili ushabiki wa Lowassa usimpofushe akaacha kumsikiliza Roho mtakatifu kwani Mungu atafanya alichokusudia na hapo tutajua kama ametumwa na Mungu au amejituma mwenyewe..
 
Taitizo la JF ni ushabiki Askofu Laizer ametoka maoni yake.sasa na ni nyi mayo maoni yenu. Sasa matusi ni ya nini? Hivi ni lazima kila mtu afikri Kama ni nyi? Kama huu si udikteta ni kits gani?
We mgeni JF? mwenzio nilikuwa guest nimejiunga leo tu maana hawaturuhusu hata kusoma post zao tena!
Changanya na za kwako!
 
Huyu ni askofu wangu lakini ninachojua hivi karibuni ameanza kumfagilia Batilda hata ibadani. Ndugu zangu eleweni huyu ni kipenzi cha lowassa na amesha washawishi Maaskofu na wachungaji wa KKKT waamini kwamba Lowassa anaandamwa kwa sababu za kidini kati yake na JK eti wanataka kumleta mtu wao. Pia eti hakuwa na kosa alijiuzulu kumwokoa rais na hivyo alitolewa kafara na JK kwa hiyo ni mtu safi.

Ninawashauri viongozi wangu wa dini kabla ya ku comment wahakikishe hawaongei kimwili bali kwa kuongozwa na Roho la sivyo ushabiki utawafanya waumini wawakimbie au waanze kuzomea makanisani. Laizer anavyokuja imekaa vibaya kwani katu hakuna mwuumini wake atakayekubaliana naye ni vema awe neutral ili hata baada ya uchaguzii Ar mjini abaki na heshima yake. Ajaribu kucheza karata vyema ili ushabiki wa Lowassa usimpofushe akaacha kumsikiliza Roho mtakatifu kwani Mungu atafanya alichokusudia na hapo tutajua kama ametumwa na Mungu au amejituma mwenyewe..

Kamuombe askofu msamaha! na ufanye hivyo ndani ya siku tatu kuanzia kesho!
 
maaskofu wana elimu gani hivi?
Ndugu yangu Leo naomba nikuunge mkono kwsa ufafanuzi kidogo:CCT na TEC ni vitu viwili tofauti.Najua wewe ni ule upande mwingine kwa jinsi ninavyokufuatiliaga hapa JF.CCT-maaskofu wanategemea sana KURA ili wawe maaskofu.Kampeni za kuusaka Uaskofu huku huwa ni vita zaidi ya CCM na CDM.Kwa hiyo huyu Askofu Laizer usijeshangaa Kampeni zake Mfadhili Mkuu ni nani(sio kazi yangu kumtaja),lakini itoshe kukuhakikishia kwamba rushwa huwa kubwa sana,Kumbuka Malasusa aliwahitaka hujumiwa wakati akigombea na huyu bwana.Lakini TEC wazee wa kurasini hawaogopi mtu maana uaskofu wenyewe ni majaaliwa ya Papa,na ukiupata ni wa milele huhofii kura uchaguzi ujao kwamba utashindwa so wanajiamini sana.Hiyo ndio Tofauti ya Laizer na Lebulu walichokiongea Sheikh Amri Abeid.Kuhusu Elimu,Sijui hao Jamaa wa CCT,Lakini Lebulu ni Dr.Masuala ya Kiimani(Mara nyingi Katoliki yaani TEC ukiachilia mbali Kilaini,wengi huwa hawazitumii sana hizi DR.Wapo mpaka maprofesa masuala haya haya ya Dunia,mara nyingine.Mfano Yupo Njombe na yule wa Songea no Dr.pia)
 
Akiendelea kidogo tu hakika tabaka tajwa haiko mbali kutokea!

Ataja jutia hii speech yake siku si nyingi!
Tusubirie na tutaona!

Namhurumia kwani watu wataanza mgomo baridi akiingia ibadani kwa sababu waumini wanajua amekuja na yaleyale watamwaacha mimbarani. Askofu wangu huwa ana msimamo sana kwani hata kama alichosimamia atagundua watu wanampinga basi ataking'ang,ania sana ila kwa hili la mbunge ni zito sana alitakiwa afikiri mara mbili kabla ya kutoa comments. Natamani aingie ibadani atoe comment za namna hiyo nisikie reaction.
 
Kamuombe askofu msamaha! na ufanye hivyo ndani ya siku tatu kuanzia kesho!

Mi mtu mzima sitishiwi nyau kama unataka kasome libadiri tuone. Naeleza ninachokijua na namheshimu sana askofu wangu lakini akipinda lazima tumrudishe kwenye mstari na ndo maana ana mshauri na huu ni ushauri mmojawapo. Acha nidhamu ya uoga.
 
Soma vizuri post hujaelewa katika ile main post kuna viongozo wa dini zaidi ya mmoja wametoa hotuba.

.
Nimerudi kuisoma tena mkuu na kugundua kauli ya kuwatetea raia waliopokwa haki na dola ilitolewa na Askofu wa RC. Laizer yeye baada ya kuona watu wameguna na kumkataa kwa matamshi yake aliamua kupropagate kwa kujifichia kwenye kichaka cha Kikwete na Ridhiwani. Akasahau kuwa na yeye alipokuwa katika vita yake ya kumtetea EL hapo nyuma alimponda JK huyo huyo ambae sasa anasema asilaumiwe kwa hukumu ya Lema.
Mimi nataka Laizer afahamu kuwa kamwe Hila mpaka hivi leo haijawahi kupata kiza cha kuificha ili isionekane na kweli.
.
 
Back
Top Bottom