Kambi ya Lowassa Inapumulia Mashine ndani ya CCM, Ndoto za Urais zazidi kuota mbawa

Ajabu ni kwamba wanaruhusiwa kutoa na kupokea rushwa, kinyume na ahadi za TANU/CCM.
 
Mzee umechanganya vibayaaa. Yaani suala la Assets na Liabilities umelikoroga!

Wenye fani watakwambia. Ila ulichoongea kuturn assets au liabilities ki uhasibu na hata ukirelate na siasa za Bongo, does not make sense.

Usijali lakini wamekupa likes za kutosha. Hii inanikumbusha JayZ (rapper wa marekani) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee aliposema F......ck you watu wakasema YEEEEAAHHHHHH! sitoisahau hiyo.

Duh labda kwa kiswahili utaelewa:-

Liability ni DENI.

Asset ni MTAJI.

Ana maana kuwa huwezi kubadilisha DENI likawa MTAJI, ila unaweza kubadilisha MTAJI ukawa DENI.
au bado hujaelewa?
 
Mzee umechanganya vibayaaa. Yaani suala la Assets na Liabilities umelikoroga!

Wenye fani watakwambia. Ila ulichoongea kuturn assets au liabilities ki uhasibu na hata ukirelate na siasa za Bongo, does not make sense.

Usijali lakini wamekupa likes za kutosha. Hii inanikumbusha JayZ (rapper wa marekani) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee aliposema F......ck you watu wakasema YEEEEAAHHHHHH! sitoisahau hiyo.
Mkuu FL, huu ndio uzuri wa jf, tuko watu wa fani mbalimbali humu, na lengo la any post ni ili members waone!. Ikitokea member kachemsha na wewe ni mchumi, usiache mchemsho huo ubaki hivyo hivyo, you have the obligation kutuelimisha what you know! kama unajua nimechemsha, usibaki kuniumbua tuu kuwa nimechemsha, hebu ufafanue huo mchemsho sio kwa faida yangu bali kwa faida ya wana jf!.

Maana yangu mimi, kuna baadhi ya mali unazozitunza kama assets ili zije zikusaidie ziku za usoni, mfano mzuri ni wewe unayo nyumba yako ya thamani kubwa na iko prime area!. Nyumba, hiyo ndio your only asset unayoitegemea kwa kila kitu!, unaweza kuipangisha na kuitumia kodi hiyo kuendeshea maisha yako. Unaweza kuitumia hiyo nyumba kama dhamana, ukakopa mabilioni na kuyatumia kama mtaji na kuuaga umasikini. Au ukapata shida or change of plans, ukaamua kuiuza nyumba hiyo "dispose off" na fedha zake kufanyia mambo mengine!.

Sasa unakuja kugundua kumbe hiyo nyumba tegemeo yako, ilijengwa juu ya mkondo wa maji na hapo nyumba ilipo ndipo ilipo njia ya hayo maji!. Wataalamu wakathibitisha kuwa kila baada ya miaka 10 mvua za Elninyo hunyesha, na ilipo nyumba yako ndio mkondo hupita na kupageuza mto tena wa maji yaendayo kasi!. Unaelezwa mvua zimeisha anza maeneo ya milimani and within no time, mkondo wa maji utaibuka na kufuata njia yake, na nyumba yako tegemeo, lazima itakwenda na maji!, ita perish! and you will be left with nothing!. Hope is dead!. Nyumba ulioitegemea kama asset, sasa ime turn into a liability, imegeuka balaa, hauziki, haipangishiki, haina faida yoyote kwako, na cha kufanya ni kujaribu kui dispose ASAP ili angalau uweze ku salvage, whataver you can,babati, milango na madirisha kabla vyote havijakwenda na maji!.

EL ambaye was was an asset tegemeo pekee kwa CCM kushinda uchaguzi wa 2015, baada ya serikali kutenga fungu la shilingi bilioni 400 kwa jina la "safety net", inamaana sasa CCM itashinda uchaguzi ujao wa 2015 bila kumhitaji EL!, EL sasa kwa CCM sio asset tena!, has turn into a liability!. Kwa vile anautaka urais kwa gharama yoyote, CCM sasa wana haha kutafuta namna ya kumdispose ili Membe ndio awe mgombea!. Juhudi zote zinazofanywa na kambi ya EL kushika nafasi zote nyeti ndani ya chama zimezaa matunda!, UWT ni ya EL, Vijana ni ya EL na wiki hii anamaliza kazi na Wazazi!. Hivyo kazi ya kumzuia ili kumnadi Membe, itakuwa sio shughuli ndogo!.
 
Baba tafuta mwanafunzi wa form one anayesoma masomo ya biashara akufundishe maana ya assets na liabilities halafu ndo urudi hapa
 
Back
Top Bottom