Kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Iraq yashambuliwa tena kwa maroketi

Marekani anafanya nini mashariki ya kati? Marekani alikuja kufanya nini Libya? Marekani alienda kufanya nini Congo wakati wa Patrice Lumumba? Ukijiuliza hayo maswali ndio utajua kwa nini watu wanashabikia apigwe, middle east japo kulikuwa na viongozi kama Saddam au Libya kwa Muaamar ambao marekani inadai kuwa ni Magaidi au dictators lakini beleive it or not, USA imesababisha vifo vya ma milioni ya watu ikiwemo Afrika na Mashariki ya kati, kuingilia mambo ya watu na chokochoko zake kumepelekea civil war, ni bora Saddam angebaki middle east na Muammar angebaki, Obama alishakiri kumuua Muammar Libya ilikuwa ni mistake.
Ni bora Iraq ya Saddam kuliko Iraq ya sasa.
Ni bora Libya ya Muammar kuliko ya sasa.
Tazama Syria ilivyokuwa.

Wanakuja kwako kwa kuonyesha ulimwengu wanakwenda kusahihisha jambo fulani, wanakupiga, wanachukua mali zako, wanaacha raia wanauana ovyo, wanaondoka kibabe na ulimwengu unatazama.

Acha Iran ijitetee, acha USA apate wababe wenzie, binadamu wote ni sawa, itakuwa safi sana siku 1 apigwe hata kombora 100 hapo washington ili waone uchungu wake.
Nakunaliana na wewe kwa hoja zako lakini bado kuna maswali ya kujiuliza..

*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Au huoni pia Vacuum ya power na kuwepo kwa makabila mengi yenye tamaa na madaraka pia kunachangia(walibanwa kipindi cha Gaddafi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekani pekee...Yupo Russia Syria ila husemi...yupo Russia Venezuela husemi..hayo ni mambo ya sasa za kimataifa na interest.. Hii haijalishi taifa lipo wapi..baadhi ya migogoro ya middle East inatokana na sasa za nchi husika ..ndio maana hata hapo middle East kuna nchi hazina machafuko tena ni nyingine tu mfano Jordan,Kuwait, UAE,Saudi Arabia,Qatar,Bahrain nk.

Nakushauri pitia tena hoja kwa umakini usiangalie upande mmoja wa shilingi geuza na wa pili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatulaani vifo vya majeshi yamarekani vinavyotokea nje ya US Kwasababu US wanaingia Katika Nchi Zawatu Kwamalengo Yakuziharibu Hawana Zaidi

Kama lengo lilikua kuundoa utawala wa Saddam Saddam Hayupo Wanangojea Nn IRAQ Wanangojea Nini LIBYA AFGHANISTAN !?

Hatupendi (SIPENDI)Mauaji Ya Yeyote Awe Mmarekani Muhindi Ama Yeyote Ila Akiwa Anaendeleza Ukaliaji Mabavu Kwanchi Zawatu Wacha Wakufe Tena Wakufe Kweli Kweli Ikiwezekana Wamalizwe Wote

Kama wanavyomalizwa Wasaudia Walioenda Kuvamia YEMEN nawamarekani Wafe Tu Hakuna Namna....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja mzuri lakini kabla ya kusema wanafanya nini unatakiwa ujiulize kwa nini wlienda..

Afghanistan?

Iraq?

Libya (hakuna wamarekani kwa sasa)

Lakini pia utakuwa wewe pia unashabikia Russia kuwepo Syria..au Iran kuwepo Syria na Iraq..au Yemen!
Uturuki kuwepo Syria...kuwepo Libya(tena anapeleka waasi kutoka Syria sasa hivi)..naongelea hivi kulingana na point yako kuwa kila nchi isijihusishe na mambo ya nchi nyingine.

Ingawa kwa siasa za kimataifa na interest ni ngumu kila MTU ana ally wake.

Subiri hapo hapo kuna kitu namalizia nitaendelea.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakunaliana na wewe kwa hoja zako lakini bado kuna maswali ya kujiuliza..

*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Au huoni pia Vacuum ya power na kuwepo kwa makabila mengi yenye tamaa na madaraka pia kunachangia(walibanwa kipindi cha Gaddafi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekani pekee...Yupo Russia Syria ila husemi...yupo Russia Venezuela husemi..hayo ni mambo ya sasa za kimataifa na interest.. Hii haijalishi taifa lipo wapi..baadhi ya migogoro ya middle East inatokana na sasa za nchi husika ..ndio maana hata hapo middle East kuna nchi hazina machafuko tena ni nyingine tu mfano Jordan,Kuwait, UAE,Saudi Arabia,Qatar,Bahrain nk.

Nakushauri pitia tena hoja kwa umakini usiangalie upande mmoja wa shilingi geuza na wa pili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mzee baba unaandikaga post ndeeeeefu halafu zinakua na pumba grade 1.

dodge
 
Aftermath of the Iranian's ballistic missiles attack on Ain Al Assad airbase in Iraq
 
Mkuu nakushauri uelewe kuwa hizi mambo ni Za Iraqi ila zina host wanajeshi wa Marekani..hivyo sidhani kama zina mifumo ya udunguaji makombora kama Patriot,THAAD au AEGIS (na hakika kuwa hakuna)

Mkuu:
Sawa lkn hii kambi ni sehemu nyeti kwa US kwa shuguli za Mafunzo, Makazi kwa Washauri wa kijeshi na pia matengenezo ya ndege vita za aina ya F-16.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakunaliana na wewe kwa hoja zako lakini bado kuna maswali ya kujiuliza..

*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Au huoni pia Vacuum ya power na kuwepo kwa makabila mengi yenye tamaa na madaraka pia kunachangia(walibanwa kipindi cha Gaddafi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekan
Nakunaliana na wewe kwa hoja zako lakini bado kuna maswali ya kujiuliza..

*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Au huoni pia Vacuum ya power na kuwepo kwa makabila mengi yenye tamaa na madaraka pia kunachangia(walibanwa kipindi cha Gaddafi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekani pekee...Yupo Russia Syria ila husemi...yupo Russia Venezuela husemi..hayo ni mambo ya sasa za kimataifa na interest.. Hii haijalishi taifa lipo wapi..baadhi ya migogoro ya middle East inatokana na sasa za nchi husika ..ndio maana hata hapo middle East kuna nchi hazina machafuko tena ni nyingine tu mfano Jordan,Kuwait, UAE,Saudi Arabia,Qatar,Bahrain nk.

Nakushauri pitia tena hoja kwa umakini usiangalie upande mmoja wa shilingi geuza na wa pili!

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Uwepo Wa Marekani Sehemu Kama QATAR SAUDIA Na Mfano Wa Hayo Ulosemea Hakuna Machafuko Kwasababu Hakuna Mirengo Ama Tawala Zinazohatarisha Maslahi Yake Katika Hayo Mataifa Uloyataja Hapo Juu

2.Jenikweli alipo US Kuna Vurugu Yah Kama Alipo US Kama Kulikua Hakuna Maslahi Yake Mwanzo Lazma Alete Vurugu Kwanza Ili Abebe Rasilimali Zataifa Husika

3.LIBYA Inaweza Ikawa Haijaharibiwa Na US Pekee Ila US Ndio Muhusika Mkuu Nb:Ninapoiongelea US Hua Naikusudia NATO(WESTERN COUTRIES NYINGI/ZOTE)

4.Huenda Ikawa Huzijui Ama Huzifuatilii Ama Unazijua Nakuzifuatilia Siasa Zamashariki Yakari Na Za Kimataifa Kwa Ujumla Ila Unajitoa Ufahamu Kwasababu
Uwepo Wa RUSSIA Pale SYRIA Upo Kwa Ombi Rasmi Laserikali Rasmi Inayotawala SYRIA Ambayo Inaongozwa Na AL ASSAD
Uwepo Wa IRAN Pale SYRIA Upo Kwakibali Husika Na Kibali Rasmi Kwa Serikali Inayotawala SYRIA
Uwepo Wa RUSSIA Huko Venezuela Upo Rasmi Kwa Ombi La Serikali Ya MADURO

Kwanini sijakomplain Uwepo Wa US Pale SOUTH KOREA Ama ISRAEL Ama Pale SAUDIA QATAR KUWAIT na Kwengine Kwasababu Naelewa Wazi Kama Jamaa Wako Pale Kwavibali Rasmi Namakubaliano Rasmi Yaserikali Zamaeneo Ama Nchi HUSIKA

SYRIA Kila Siku Wanalalamika Hawataki Majeshi Yakigeni Nchini Mwao Wanawataka RUSSIA IRAN Kwa Interest Zao Kama Wanavyotakiwa Wa US Pale JAPAN SAUDIA Nakwengineko (Unajaji Vp Uwepo Wa Kijeshi Wa RUSSIA VENEZUELA NA SYRIA WAKATI WAPO KWAVIBALI RASMI VYASERIKALI HUSIKA)

nb:US Ndio Mchafuzi Wa Amani Namba Moja DUNIANI Kwanini Kila Migogoro Ana Iaminisha Dunia Kwamba Inatatuliwa Kwanjia Zakijeshi Ila Katalunya Kaaminisha Siplomasia Inanafasi Unahisi Kuna Migogoro Ambayo Inashindwa Kutatuliwa Kwa diplomasia

Mgogoro wa VENEZUELA Huenda Umeibuliwa Na WAVENEZUELA Wenyewe Ila Umechochewa Zaidi Na US .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakunaliana na wewe kwa hoja zako lakini bado kuna maswali ya kujiuliza..

*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Au huoni pia Vacuum ya power na kuwepo kwa makabila mengi yenye tamaa na madaraka pia kunachangia(walibanwa kipindi cha Gaddafi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekani pekee...Yupo Russia Syria ila husemi...yupo Russia Venezuela husemi..hayo ni mambo ya sasa za kimataifa na interest.. Hii haijalishi taifa lipo wapi..baadhi ya migogoro ya middle East inatokana na sasa za nchi husika ..ndio maana hata hapo middle East kuna nchi hazina machafuko tena ni nyingine tu mfano Jordan,Kuwait, UAE,Saudi Arabia,Qatar,Bahrain nk.

Nakushauri pitia tena hoja kwa umakini usiangalie upande mmoja wa shilingi geuza na wa pili!

Sent using Jamii Forums mobile app
*je ni kweli kila alipo Marekani kuna vurugu?

Hakuna aliyesema kila alipo marekani kuna vurugu, kama yupo kwako na una mali basi kuna interests na si vingine, mfano Saudia ina maslahi makubwa na USA.

*je ni kweli kila alipo Marekani watu ni masikini? (Kama unavyosema)
Mkuu saa ngapi nimesema kila alipo marekani ni masikini? usiwe unajibu kama hujaelewa ulichosoma.

*Je ni kweli kila alipo Marekani kuna Vita?

Saa ngapi nimesema kila alipo USA kuna vita? mbona haya mageni kwangu.

*Je Libya imeharibiwa na Marekani pekee,hakuna Mataifa mengine?
Ziliuwepo nchi nyingine(NATO) lakini mwenye contribution kubwa NATO ni USA.

Kwanza kabisa unapaswa kujua Muammar hakuuawa kwa haki za binadamu kama wanavyodai, Gaddafi alitaka ku empower afrika,
alitaka kuweka umoja wa afrika

Alikuwa anataka kutengeneza pesa ya Afrika(Gold Dinar) ambapo tungetumia Afrika nzima. Tungekuwa huru dhidi ya dollar,

Alikuwa ana ndoto ya kuja kulinda mali ya Afrika tokana na unyonyaji wa wazungu.

Unajua USA ana contribution kiasi gani kwa NATO? Kwa nini USA ilikataa Palestine kuwa taifa, tofauti na wenzie na kutishia itasitisha contribution zake mara moja UN na ikafanikiwa japo wenzie walikuwa wengi.

*kusema nini Marekani anafanya Mashariki ya kati ni swali la kitoto maana hujui siasa za kimataifa! ..kwani hapo Middle East yupo Marekani pekee...Yupo Russia Syria ila husemi...yupo Russia Venezuela husemi..hayo ni mambo ya sasa za kimataifa na interest.. Hii haijalishi taifa lipo wapi..baadhi ya migogoro ya middle East inatokana na sasa za nchi husika ..ndio maana hata hapo middle East kuna nchi hazina machafuko tena ni nyingine tu mfano Jordan,Kuwait, UAE,Saudi Arabia,Qatar,Bahrain nk.

Nambie taifa gani limemuua Saddam, Nambie nani alitaka kumuua Assad na nani kamkingia kifua, Bila uwepo wa Russia, Syria sasa hivi ingekua Iraq ile ya 2005.
 
Mkuu Mimi huwa nawashangaa sana watu wa Aina yako..hapa unashabikia kushambuliwa kwa jambo za Marekani(na nahisi unatamani wangeuawa) lakini hutaki matokea ya kushambulia huko yaani namaanisha retaliation.. wakifa hao militants utaanza kulaumu Marekani kuwa ni wababe..(kifo ni kifo bila kujali amekufa nani) ..unapokataa mauaji kataa kwa wote na si kuangalia kafa nani!

Mfano katika matukio yaliyopita Iraq mambo yalikuwa hivi;

*mambo ya Marekani ilishambuliwa kwa maroketi na wanamgambo wa kishia ikaua American contractor ( hukulaani)

*Marekani ikaripua kwa makombora kutoka kwenye ndege kambi za wanamgambo wa kishia na kuwaua zaidi ya 30+(watu wengi wakalaani ikiwemo na wewe bila shaka)

*maandamano na mashambulizi ya kuchoma moto ubarozi wa Marekani (geti la kwanza)yaliyifanywa na wanangambo wa kishia na baadhi ya wananchi wa kawaida waliokuwa wakiwaunga mkono.watu wengi walitetea hatua hiyo na wengine walifurahia (maybe ikiwamo na wewe)

*Marekani ikamshambulia kiongozi wa kijeshi wa Iran na mwenzake wa kikundi cha wanamgambo wa kishia na kuwaua. Watu wengi walilaani na kupinga hatua hiyo na kusema US ni wakorofi na hawafai kuwepo Iraq.(nahisi na wewe ulilaani pia)

Sasa kwa mtililiko huu huoni wewe husimami katikati na pia una dauble standard!

Hapa unatetea hatuo ya kushambuliwa kwa Wamarekani lakini hutaki na wao wajitetee au walipe kisasi..haya ni maajabu ya binadamu wa sasa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani anafanya nini mashariki ya kati? Marekani alikuja kufanya nini Libya? Marekani alienda kufanya nini Congo wakati wa Patrice Lumumba? Ukijiuliza hayo maswali ndio utajua kwa nini watu wanashabikia apigwe, middle east japo kulikuwa na viongozi kama Saddam au Libya kwa Muaamar ambao marekani inadai kuwa ni Magaidi au dictators lakini beleive it or not, USA imesababisha vifo vya ma milioni ya watu ikiwemo Afrika na Mashariki ya kati, kuingilia mambo ya watu na chokochoko zake kumepelekea civil war, ni bora Saddam angebaki middle east na Muammar angebaki, Obama alishakiri kumuua Muammar Libya ilikuwa ni mistake.
Ni bora Iraq ya Saddam kuliko Iraq ya sasa.
Ni bora Libya ya Muammar kuliko ya sasa.
Tazama Syria ilivyokuwa.

Wanakuja kwako kwa kuonyesha ulimwengu wanakwenda kusahihisha jambo fulani, wanakupiga, wanachukua mali zako, wanaacha raia wanauana ovyo, wanaondoka kibabe na ulimwengu unatazama.

Acha Iran ijitetee, acha USA apate wababe wenzie, binadamu wote ni sawa, itakuwa safi sana siku 1 apigwe hata kombora 100 hapo washington ili waone uchungu wake.
Kama ww ungekuwa USA ungetoa msaada wa burebure au unazani kodi za wananchi zije zitumike kukuletea amani ww bila marejesho ya hasara,Waafrika tuamke tunapenda vya bure bure mno,kuuana tuuane sisi msaada watoe wao wakidai malipo tunawaita wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ww ungekuwa USA ungetoa msaada wa burebure au unazani kodi za wananchi zije zitumike kukuletea amani ww bila marejesho ya hasara,Waafrika tuamke tunapenda vya bure bure mno,kuuana tuuane sisi msaada watoe wao wakidai malipo tunawaita wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna chonganishwa wa africa ndio mana tunapigana, pale kongo america ana masilai makubwa sana wakongo wasipo amka itabaki kuwa hivyo hivyo.Kuna mataifa 7 u.s.a, u.k ufaransa, jeruman, italy, israel, uturuk siku yaki futwa kwenye uso wa dunia, Dunia itapata amani ya kudumu.

Amani ya Dunia inavurugwa na Vatican, hao Ni vibaraka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom