Kambi ya Iran nchini Syria yashambuliwa tena mara ya tatu ndani ya wiki moja na Israel - Wanajeshi wa Pakistan 18 wafariki

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,754

Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo.​

Report: 19 pro-Iran fighters killed in Israeli airstrike in Syria​

Syrian Observatory for Human Rights says Pakistani militants fighting for Iran killed in airstrike in eastern Syria.​

Tags: Iran Syria Airstrike
AFP , Nov 26 , 2020 5:17 PM

Airstrike in Syria (archive)

Airstrike in Syria (archive)
iStock

Air strikes likely carried out by Israel killed at least 19 pro-Iran militia fighters in war-torn eastern Syria, a war monitor said Thursday.
The early morning strikes hit positions of Iran-backed militias outside the town of Albu Kamal in Deir Ezzor province, killing mostly Pakistani fighters, the Syrian Observatory for Human Rights said.

Syrian state media did not report the attack and Israel rarely acknowledges individual strikes, but the Observatory has accused the Jewish state of launching at least two other aerial attacks against pro-Iran forces in Syria since Saturday.

Early on Wednesday, at least eight Iran-backed fighters were killed in strikes near Damascus and in southern Syria, according to the war monitor, which is based in the UK but relies on a network of sources inside Syria

On Saturday night, air strikes near Albu Kamal killed at least 14 pro-Iran militia fighters from Iraq and Afghanistan, the Observatory said.
Iran backs President Bashar al-Assad's regime in Syria's civil war.

The latest strikes came after Israel's ambassador to the United Nations Gilad Erdan called on the Security Council to take immediate action to remove Iranian forces from Syria.

"Israel ... demands a total rollback of Iran and its proxies from Syria and the removal of Iranian military infrastructure from Syrian territory," he said in a letter addressed to the head of the UN Security Council.

Israel has allegedly carried out hundreds of air and missile strikes on Syria since the country's civil war broke out in 2011, targeting Iranian and Lebanese Hezbollah forces as well as Syrian government troops.

Syria's war has killed more than 380,000 people and displaced millions more since starting in 2011 with the brutal repression of anti-government protests.
 
Sasa mbona haueleweki ? Zimeshabuliwa kambi za Iran alafu wame kufa wanajeshi wa Pakistan alafu kingine mbona Pakistan haijawahi kujihusisha kwenye mgogoro wa Syria?
 
Mkuu kuna watu huitwa ''Dogs of War'' yaani unaweza ukawa huna jeshi but unawa recruit watu walio tayari kwa kupigana but unawalipa kwa makubaliano ya pesa... Nchi Nyingi hufanya hivyo even Zanzibar walimchukua mtu aliyeitwa John Okello From Uganda kupigana na Jeshi la Sultani wa Zanzibar.

Iran Imepeleka Makomandoo wao huko kutoa mafunzo ya kivita na kugharamia Jeshi la madogs kutoka nchi kadhaa wakiwemo walebanese Hezbollah na Jamii nyingi sana... Vita yeyote huwa hazikosi Dogs of War... Syria yenyewe tu ndio imejaliwa na na hao Madogs.. Even Tz Wale Jamaa kule Kusini wanajiita Al Shabab wamejaza Dogs of War tu kutoka sehemu mbalimbali... Usishangae kusikia Raia wa Nchi furani wamededi Syria.
 
Mkuu kuna watu huitwa ''Dogs of War'' yaani unaweza ukawa huna jeshi but unawa rucruit watu walio tayari kwa kupigana but unawalipa kwa makubaliano ya pesa... Nchi Nyingi hufanya hivyo even Zanzibar walimchukua mtu aliyeitwa John Okello From Uganda kupigana na Jeshi la Sultani wa Zanzibar...
Sasa asingesema wanajeshi wa Pakistani bali alitakiwa aseme wapiganaji wenye uraia wa Pakistan.
 
Inawezekana Iran haina jeshi kubwa sana huko Syria ila ina washauri wa kijeshi wanaotoa mafunzo na utaalamu kwa wapiganaji wa kishia kutoka nchi mbalimbali wanaofadhiliwa na kulipwa na Iran.

Vita kama hivi vya Syria ni rahisi kuvutia wapiganaji wa kigeni.

Mfano kampuni ya Urusi ya Wagner inajihusisha na mizozo huko Syria na Libya kwa niaba ya Urusi.
 
Mkuu kuna watu huitwa ''Dogs of War'' yaani unaweza ukawa huna jeshi but unawa recruit watu walio tayari kwa kupigana but unawalipa kwa makubaliano ya pesa... Nchi Nyingi hufanya hivyo even Zanzibar walimchukua mtu aliyeitwa John Okello From Uganda kupigana na Jeshi la Sultani wa Zanzibar.

Iran Imepeleka Makomandoo wao huko kutoa mafunzo ya kivita na kugharamia Jeshi la madogs kutoka nchi kadhaa wakiwemo walebanese Hezbollah na Jamii nyingi sana... Vita yeyote huwa hazikosi Dogs of War... Syria yenyewe tu ndio imejaliwa na na hao Madogs.. Even Tz Wale Jamaa kule Kusini wanajiita Al Shabab wamejaza Dogs of War tu kutoka sehemu mbalimbali... Usishangae kusikia Raia wa Nchi furani wamededi Syria.

Hii habari imekaa kaa kipropaganda zaidi - hivi huyu Balozi wa kudumu wa Israel katika umoja wa Mataifa alikuwa na ulazima gani wa kumuandikia Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kwamba Wairan na washirika wake waondoke Syria au itawangamiza wote - Israel majigambo tu, Israel haina uwezo wa kuangamiza jeshi la Iran na washirika wake!!

Binafsi naona barua hiyo inadhilisha kwamba kuna kitu Israel inaogopa kuhusu Iran, woga wao ndio unawafanya watoe vitisho tisho kupitia umoja wa Mataifa just to save their skin - labda Israel imekwisha pata tetesi kwamba Iran hiko mbioni kulupiza kisasi massively kutoka na mashambulizi ya kila Mara kwa washauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria. Kama Israel ingekuwa na uhakika/jiamini kwamba INA uwezo mkubwa wa kukabiliana kivita na Iran basi wangeshambulia tu bila ya kuandika barua kwa Katibu mkuu wa umoja wa mataifa.
 
Israel inachokifanya ni kujiandaa kivita, na vita ikishatokea israel atakua huru kupigana maana itakua alishapeleka malalamiko UN juu ya uwepo wa vitisho vya Iran.
 
Iran haina ha ha ukiua mwanajeshi wa iran hezbullah(kiboko wa wayahudi)hawawezi kukuacha salama hii habari ni propaganda
 
Israel inachokifanya ni kujiandaa kivita, na vita ikishatokea israel atakua huru kupigana maana itakua alishapeleka malalamiko UN juu ya uwepo wa vitisho vya Iran.

Kweli? Tunga lini Israel ikaheshimu mamlaka ya Umoja wa Mataifa - lini?

Israel ni kinara wa ukihukwaji mkubwa wa maazimio ya Umoja wa Mataifa, LEO hii ndio wajifanye wanatoa taarifa taarifa ya tahadhali kwa katibu mkuu kuhusu uwezekano wa kuwa angamiza wa IRAN wote na washiraka wao nchini Syria - utu huo wa Wayahudi kuwaonea huruma Waarabu na Wahajemi umeanza lini?

Waisrael hawana uwezo wa kuwashinda wa Iran kivita labda wakitumia mabom ya nuklia, lakini wakitumia conventional weapons/bombs Israel itanyukwa kweli kweli na jeshi la Iran - watapata kipigo kuliko kipigo cha mwaka 2007 Israel ilipo kabiliana na wana mgambo wa Hezibolla huko Lebanon wanangamba hao walifanikiwa kuya rudisha nyuma majeshi LA Israel kwa kuharibu idadi kubwa ya vifaru na magari ya deraya ya jeshi la Israel - Israel haikuamini kilicho wasibu.
 
Hapo umenena kweli

Back
Top Bottom